Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI

Tarehe 16 Aprili 2018, Baba Matakatifu mstaafu Benedikto XVI amefikisha miaka 91 ya kuzaliwa

Tarehe 16 Aprili 2018, Baba Matakatifu mstaafu Benedikto XVI amefikisha miaka 91 ya kuzaliwa

Matashi na baraka kwa Papa Mstaafu Benedikto XVI kufikisha miaka 91!

17/04/2018 15:43

Tarehe 16 Aprili 2018 ilikuwa ni siku maalum ya kukumbuka miaka 91 ya Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI aliyezaliwa  mnamo tarehe 16 Aprili 1927 huko Maektl nchini Ujerman.Akachaguliwa kuwa Papa 19 Aprili 2005;11 Februari akatangaza kustaafu na tangu 28 Februari 2013 akastaafu rasmi

 

 

Baba Mtakatifu Francisko amemtembelea Papa Mstaafu Benedikto XVI ili kumtakia heri na baraka kwa Sherehe ya Pasaka 2018.

Baba Mtakatifu Francisko amemtembelea Papa Mstaafu Benedikto XVI ili kumtakia heri na baraka za Sherehe ya Pasaka kwa mwaka 2018.

Salam na matashi mema ya Pasaka kwa Papa Mstaafu Benedikto XVI

28/03/2018 11:48

Pasaka ni kiini cha imani, maisha na utume wa Kikristo! Baba Mtakatifu Francisko, Jumanne tarehe 27 Machi 2018 amemtembelea Papa Mstaafu Benedikto XVI ili kumpatia heri na matashi mema ya Sherehe ya Pasaka kwa mwaka 2018. Ametembelea pia ofisi za Sekretarieti kuu ya Vatican!

 

Askofu mkuu Julio Murat ameteuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon.

Askofu mkuu Julio Murat ameteuliwa kuwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon.

Askofu mkuu Julio Murat ateuliwa Balozi wa Vatican nchini Cameroon

24/03/2018 13:57

Askofu mkuu Julio Murat alizaliwa kunako mwaka 1961 nchini Uturuki, akapewa Daraja Takatifu ya Upadre mwaka 1986. Tarehe 1 Januari 1994 akaanza utume wake mjini Vatican. Mwaka 2012 akateuliwa kuwa Askofu mkuu na kuwekwa wakfu mwaka 2012, sasa ameteuliwa kuwa Balozi nchini Cameroon.

 

Askofu mkuu Lèon Kalenga Badikebele ameteuliwa kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Argentina.

Askofu mkuu Lèon Kalenga Badikebele ameteuliwa kuwa Balozi Mpya wa Vatican nchini Argentina.

Askofu mkuu Lèon Badikebele ateuliwa kuwa Balozi nchini Argentina

19/03/2018 14:48

Askofu mkuu Lèon Kalenga Badikebele aliyezaliwa kunako mwaka 1956 huko DRC, akapadrishwa mwaka 1982 na kuanza utume wake wa kidiplomasia mjini Vatican mwaka 1990, akateuliwa na kuwekwa wakfu kuwa Askofu mwaka 2008 sasa ameteuliwa kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Argentina.

 

Monsinyo Vigano' wakati wa kusoma barua ya Papa mstaafu Benedikto XVI wakati wa kuwasilisha vitabu Taalimungu ya Papa Francisko

Monsinyo Vigano' wakati wa kusoma barua ya Papa mstaafu Benedikto XVI katika kuwasilisha vitabu Taalimungu ya Papa Francisko

Papa mstaafu Benedikto XVI kumwandikia Barua mons. Edoardo Viganò!

13/03/2018 16:45

Tarehe 12 Machi 2018 Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI ameandika barua kwa Monsinyo Edoardo Vigano,kufuatia utoaji wa mfululizo wa vitabu juu ya Taalimungu ya Papa Francisko.Monsinyo Vigano anasema,mchango wa Papa mstaafu Benedikto ni muhimu kwa kuona umoja wa tasaufi yao

 

 

Juhudi zote za kuipatanisha familia ya Mungu Jimbo Katoliki la Ahiara, Nigeria zimeshindikana na Askofu ameamua kung'atuka madarakani.

Juhudi zote za kuipatanisha familia ya Mungu Jimbo Katoliki la Ahiara, Nigeria na Askofu wake, zimeshindikana na Askofu Okpaleke ameamua kung'atuka kutoka madarakani.

Askofu mstaafu Peter Ebere Okpaleke asimulia yaliyomsibu kwa miaka 5

20/02/2018 16:16

Askofu Peter Ebere Okpaleke aliyeng'atuka kutoka katika uongozi wa Jimbo Katoliki la Ahiara, nchini Nigeria, ambaye kwa muda miaka mitano amezuiliwa kuingia Jimboni mwake hata baada ya juhudi za makusudi kufanyika anasema, huu ni muda wa toba na wongofu wa ndani ili kujipatanisha na Kanisa!

Askofu Peter Ebere Okpaleke ang'atuka madarakani Jimbo la Ahiara!

19/02/2018 14:01

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kung'atuka kutoka madarani uliowasilishwa kwake na Askofu Peter Ebere Okpaleke wa Jimbo Katoliki la Ahiara na wakati huo huo kumteua Askofu Lucisius Iwejuru Ugorji wa Jimbo Katoliki la Umuahia kuwa Msimamizi wa Kitume wa Jimbo la Ahia, Nigeria.

 

Miaka 5 imegota tangu Papa Benedikto XVI alipong'atuka kutoka madarakani na kwenda kusali, kutafakari na kuliombea Kanisa.

Miaka 5 imegota tangu Papa Benedikto XVI alipong'atuka kutoka madarakani na kwenda "Jangwani" ili kusali, kutafakari na kuliombea Kanisa la Kristo!

Imegota miaka 5 tangu Benedikto XVI alipong'atuka madarakani

09/02/2018 17:30

Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI alijiandaa kiroho na kimwili ili kuweza kung'atuka kutoka madarakani kunako tarehe 11 Februari 2013. Alijiachilia mikononi mwa Mungu ili kutekeleza mapenzi yake na sasa anasali, anatafakari na kuendelea kuwa mwaminifu kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro!