Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baba Mtakatifu Francisko

Baba Mtakatifu Francisko asikitishwa na vifo vya wakimbizi na wahamiaji kwenye Bahari ya Mediterrania.

Baba Mtakatifu Francisko asikitishwa sana na vifo vya wakimbizi na wahamiaji kwenye Bahari ya Mediterrania aitaka Jumuiya ya Kimataifa kutenda kwa nguvu na ushupavu ili kuokoa maisha ya watu.

Papa Francisko awalilia wahamiaji wanaoendelea kufa maji baharini!

22/07/2018 14:14

Baba Mtakatifu Francisko anasikitika kuona kwamba, bado kuna wahamiaji na wakimbizi wanaendelea kufa maji huko kwenye Baharini ya Mediterrani, na hivyo anaitaka Jumuiya ya Kimataifa kutenda kwa nguvu na ushupavu ili kukomesha majanga haya ambayo kwa sasa yanaonekana kuzoeleka!

Sala ya Malaika wa Bwana kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Sala ya Malaika wa Bwana kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Yesu aliona kwa jicho la moyo, akawa na huruma na kuwafundisha watu

22/07/2018 13:47

Mwinjili Marko anamwonesha Yesu kuwa ni kiongozi aliyeangalia kwa jicho la ndani lililopenya na kugusa mahitaji ya mtu mzima: kiroho na kimwili, kiasi hata cha kuamsha huruma kwa watu waliomzunguka na hivyo kuamua kuwalisha kwa Mkate wa Neno la Mungu, muujiza ulioleta mshangao mkubwa!

Kuna uhusiano wa karibu kati ya Ekolojia ya binadamu na mazingira.

Kuna uhusiano wa karibu kati ya Ekolojia na utunzaji bora wa mazingira.

Kardinali Turkson: Ekolojia ya binadamu inazingatia utu, haki na amani

21/07/2018 15:03

Ekolojia ya binadamu ina uhusiano wa karibu sana na mazingira nyumba ya wote, lakini nafumbatwa katika taratibu, wema, haki, amani, udugu, mshikamano, ibada na uchaji wa Mungu mambo msingi yanayoboresha maisha ya mwanadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.

Papa Francisko anawaalika waamini kutubu na kuongoka ili kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao.

Papa Francisko anawaalika waamini kutubu na kumwongokea Mungu ili kuambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao.

Papa Francisko: Waamini jitahidini kutubu na kumwongokea Mungu

21/07/2018 14:42

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyezi mungu ni mwingi wa huruma na mapendo, kamwe hachoki kuwasamehe wale wote wanaomwendea kwa moyo wa majuto na toba, wakiomba msamaha wa dhambi zao! Kanisa linalaani dhambi, lakini linawakumbatia wadhambi, ili watubu na kuongoka!

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

VATICAN: Utu, heshima na haki msingi za binadamu zinapaswa kulindwa na kudumishwa.

Wakimbizi na wahamiaji: Usalama, utu, heshima na haki zao msingi!

20/07/2018 10:39

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujikita katika kutafuta kiini cha wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani, ili kuweza kuibua mbinu mkakati utakaosaidia kwanza kabisa: kulinda na kudumisha: usalama, utu, heshima na haki msingi za wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia!

Mwenyeheri Nunzio Sulprizio kutangazwa kuwa Mtakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.

Mwenyeheri Nunzio Sulprizio kutangazwa kuwa Mwenyeheri 14 Oktoba 2018.

Mwenyeheri Nunzio Sulprizio kutangazwa kuwa Mtakatifu 14 Oktoba 2018

19/07/2018 14:53

Mwenyeheri Nunzio Sulprizio aliyezaliwa kunako mwaka 1817, akatangazwa kuwa Mwenyeheri na Papa Paulo VI kunako mwaka 1963 anatarajiwa kutangazwa kuwa Mtakatifu tarehe 14 Oktoba 2018. Ni kijana aliyejituma na mwamini mlei aliyejisadaka kwa ajili ya utu na heshima ya wafanyakazi.

Papa Francisko: Ushauri kwa wakleri na majando kasisi katika maisha na utume wao ndani ya Kanisa Katoliki.

Papa Francisko: Ushauri kwa wakleri na majandokasisi katika maisha na utume wao ndani ya Kanisa Katoliki.

Ushauri wa Papa Francisko kwa Mapadre na Majandokasisi!

19/07/2018 07:07

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wakleri kujikita zaidi na zaidi katika ufuasi wa Kristo, ili kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu, kwa kuendelea kuwa na mang'amuzi kuhusu maisha na wito wao, daima wakijitahidi kuboresha maisha na wito wao kwa njia ya majiundo endelevu! 

Papa Francisko: AMECEA: Jengeni: Umoja, mshikamano, udugu, ukweli, wema na haki.

Papa Francisko: AMECEA: Jengeni: Umoja, mshikamano, udugu, wema, haki na ukweli.

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Mababa wa AMECEA, 2018

18/07/2018 14:52

Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe aliowatumia Mababa wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA amekazia umuhimu wa kujikita katika ujenzi wa mshikamano, umoja, udugu; kwa kutafuta mambo mema, ukweli na haki, ili kuyamwilisha katika uhalisia wa maisha!