Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baba Mtakatifu

Waamini nchini Indonesia wakiombea ndugu zao walio athirika katika shambulio la kigaidi

Waamini nchini Indonesia wakiombea ndugu zao walio athirika katika shambulio la kigaidi

Papa awaombea waathirika wa shambulio la kigaidi nchini Indonesia!

14/05/2018 16:14

Baba Mtakatifu baada ya sala ya Malkia wa mbingu13 Mei amekumbuka waathirika wa shambulio la kigaidi kwa namna ya pekee jumuiya ya kikristo wa Surabaya nchini Indonesia;Tukio la siku ya 52 ya Maadhimisho ya upashanaji habari2018;Siku ya Mama duniani na Mama Maria wa Fatima!

 

 

Papa Francisko akiwa katika Kaburi la Mtumishi wa Mungu Askofu Tonino Bello

Papa Francisko akiwa katika Kaburi la Mtumishi wa Mungu Askofu Tonino Bello

Papa:Don Tonino Bello alikuwa kama Kanisa linalowaka upendo!

20/04/2018 16:00

Tarehe 20 Aprili 2018 Papa Francisko amefanya ziara yake katika mji wa Alessano na kutoa hotuba akimtafakari Askofu Tonino Bello kwa mambo makuu matatu yakuwa,alikuwa kama Kanisa linalowaka upendo,hakujalia ukuu na hata sifa alikuwa amesimika miguu ardhini lmacho yake akizama juu

 

Papa Francisko amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

Papa Francisko amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

Papa amekutana na wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan

14/03/2018 15:51

Tarehe 14 Machi 2018 majira ya asubuhi, Papa Francisko amekutana na kusalimiana na wajumbe wawakilishi wa dini ya Utao kutoka Taiwan katika ukumbi mdogo wa mikutano wa mwenye heri Paulo VI.Wakakati wa kutoa neno  bila maandishi,amewashukuru ujio wao  na kwa maneno ya hotuba yao

 

 

 

 

 

Tarehe 17 Februari Papa Francisko amekutana na Jumuiya ya Seminari ya Kipapa Kanda ya Sardegna

Papa Francisko amekutana na Jumuiya ya Seminari ya Kipapa Kanda ya Sardegna

Papa Francisko amekutana na Jumuiya ya Seminari ya Kipapa Kanda ya Sardegna

17/02/2018 17:05

Hotuba ya Baba Mtakatifu ya tarehe 17 Februari 2018 alipokutana na waseminari,walimu  na maaskofu kutoka Sardegna kisiwani kusini mwa Italia mjini Vatican wakiwa wanafanya kukumbukumbu ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa seminari hiyo.Anatoa wito wa kijiandaa vema kuwa makuhani wema 

 

 

 

25 Januari 2018, kumezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II, Roma

25 Januari 2018, kimezinduliwa kitengo cha Gaudium et Spes katika Taasisi ya Kipapa ya Yohane Paulo II Roma

Ujumbe wa Papa Francisko kwa Tukio la Uzinduzi wa Kitengo kipya

26/01/2018 09:40

Tarehe 25 Januari 2018 katika Taasisi ya Kipapa ya Taalimungu na Sayansi ya ndoa na Familia ya Yohane Paulo II,imezinduliwa Fani mpya ya Gaudium et Spes,Hati ya  kichungaji inayohusu Kanisa katika ulimwengu.Na Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa Askofu Vincenzo Paglia

 

 

18 Januari 2018 Chuo Kikuu cha Kipapa watafanya mkutano kuhusu mada ya msamaha

18 Januari 2018 Chuo Kikuu cha Kipapa Roma watafanya mkutano kuhusu mada ya msamaha

18 Januari 2018, Mkutano katika Chuo cha Santa Croce kuhusu Msamaha!

15/01/2018 15:56

Tarehe 18 Januari 2018, Chuo Kikuu cha Kipapa cha Santa Croce, kimeandaa mada ya kwanza  kuhusu suala msamaha, mada itakayo waona washiriki wengi,hasa kuwaunganisha wataalam wa masuala ya mada hiyo kutoka nchi mbalimbali.Ni mada msingi kwa wakristo,wayahudi na waislam

 

 

Baraza la Kipapa la Makleri kwa ushirikiano na Sekretarieti ya mawasiliano wameunda Clerus App, inayohusu mahubiri ya kila Jumapili

Baraza la Kipapa la Makleri kwa ushirikiano na Sekretarieti ya mawasiliano wameunda Clerus App, inayohusu mahubiri ya kila Jumapili

Baraza la Kipapa la Makleri wameunda Clerus App, je ni kitu gani?

03/01/2018 16:00

Clerus App ni nyezo msingi ya kuweza kuwa karibu na maparoko kusaidiana katika maandaliza ya tafakari ya kila Jumapili. Hayo ni maelezo ya Mosinyo Andrea Ripa Katibu Msaidizi wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makleri kwa ushirikiano na Sekretarieti ya Mawasiliano,ambao wameunda  hiyo App

 

 

Papa Francisko anawataka wafungwa kumfungulia Kristo malango ya maisha yao, ili kuandika historia yao upya!

Papa Francisko anawataka wafungwa kumfungulia Kristo Yesu malango ya maisha yao ili kuandika upya historia ya maisha yao!

Papa Francisko anawataka wafungwa kuandika ukurasa mpya wa maisha yao!

29/12/2017 16:34

Baba Mtakatifu Francisko anawataka wafungwa wa Gereza la Latina, lililoko mjini Roma kufungua akili na nyoyo zao ili kuweza kumkaribisha Mtoto Yesu ili awakirimie mwanga utakaowapatia nguvu na matumaini ya kuthubutu kuandika tena ukurasa mpya wa historia ya maisha yao kwa utu wema!