Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Baa la njaa

WCC: Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana kwa dhati ili kupambana na umaskini, ujinga, maradhi na balaa la njaa duniani.

WCC: Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushikamana kwa dhati ili kupambana na ujinga, umaskini, magonjwa na balaa la njaa; mambo yanayonyanyasa utu na heshima ya binadamu.

Jumuiya ya Kimataifa ishikamane ili kupambana na changamoto mamboleo

27/02/2018 07:11

Baraza la Makanisa Ulimwenguni linaitaka Jumuiya ya Kimataifa kushikamana kwa hali na mali katika mchakato wa mapambano dhidi ya baa la njaa, umaskini, magonjwa na ujinga, ili kuweza kuwaletea watu maendeleo endelevu yanayogusa mahitaji yao msingi na kulinda utu wao!

Hali ya kiuchumi imekumba nchi ya Chad kutokana na punguzo la petroli

Hali ya kiuchumi imekumba nchi ya Chad kutokana na punguzo la petroli

Hali ngumu na kipeo cha uchumi na kisiasa yaikumba nchi ya Chad!

02/02/2018 14:30

Watu wa nchi ya Chad wanaishi kipindi kigumu na hii ni kutokana na kuanguka kwa bei ya mafuta ya petroli ambayo imesababisha kuchangia kipeo kigumu  cha uchumi wa nchi.Mameya wa manisapaa  zote wako wanaitisha maandamano bila kikomo ili kupinga usimamizi wa fedha na ukataji mishahara

 

 

Wimbi kubwa la watu kutoka DRC kuelekea Rwanda,Burundi,Uganda na Tanzania wakikimbia ghasia!

Wimbi kubwa la watu kutoka DRC kuelekea Rwanda,Burundi,Uganda na Tanzania wakikimbia ghasia!

Kuna ongezeko la wimbi la watu kuikimbia nchi ya DRC kutokana na ghasia!

01/02/2018 09:36

Shirika la Wakimbizi UNHCR la Umoja wa Mataifa linaonesha wasiwasi kutokana na ongezeko la vurugu kwa upande wa mashariki ya DRC ambapo imesababisha idadi kubwa ya watu kuondoka katika makazi yao na kwenda mashariki ya nchi katika mipaka ya Burundi,Rwanda,Uganda na Tanzania

 

Kuna umuhimu wa kupata ufumbuzi haraka  iwezekanavyo kwa mtamzamo wa Bara la Afrika chini ya Jangwa la Sahara iliyoshambuliwa baa la njaa

Kuna umuhimu wa kupata ufumbuzi haraka iwezekanavyo kwa mtamzamo wa Bara la Afrika chini ya Jangwa la Sahara iliyoshambuliwa baa la njaa

Ripoti ya Caritas Italia kuhusu njaa ya amani:chakula,ukosefu wa usawa na vita!

01/02/2018 08:56

Ripoti ya Caritas nchini Italia,imetoa ripoti kuhusu njaa kwa lengo la kuonyesha tofauti zinazoendelea kuashiria mfumo wa kiuchumi duniani na kufufua yale yaliyoripotiwa na kupendekezwa katika Kampeni kuhusu Familia moja ya kibinadamu,chakula kwa wote ni wajibu wote katika dunia ya leo 2015!

 

Papa Francisko anawahimiza viongozi wa Umoja wa Afrika kushirikiana na kushikamana katika kupambana na umaskini na baa la njaa la utapiamlo wa kutisha

Papa Francisko anawahimiza viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya kushirikiana na kushikamana ili kupambana na umaskini pamoja na baa la njaa na utapiamlo wa kutisha.

Papa Francisko: Shikamaneni ili kupambana na baa la njaa Barani Afrika

30/01/2018 14:30

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuwaalika viongozi wakuu wa Umoja wa Afrika kushirikiana na kushikamana kwa dhati katika kupanga na kutekeleza sera na mikakati mbali mbali ya maendeleo ili kupambana na baa la njaa na umaskini wa hali na kipato unaotishia: maisha, usalama na uhakika wa chakula.

Baba Mtakatifu Francisko ametoa msaada wa fedha kwa familia 5,000 ambamo wanaishi zaidi ya watu 30,000 nchini Sudan ya Kusini

Baba Mtakatifu Francisko ametoa msaada wa fedha kwa familia 5,000 ambamo wanaishi zaidi ya watu 30,000 nchini Sudan ya Kusini

23 Nov ni Sala ya amani kwa ajili ya Congo na Sudan ya Kusini mjini Vatican

14/11/2017 16:08

Tarehe 23 Novemba 2017 saa 11 na nusu jioni masaa ya Ulaya,katika  Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro,Baba Mtakatifu Francisko ataongoza sala ya Amani kwa ajili ya nchi ya Sudan ya Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Wakati huo huo ametoa msaada pia wa kifedha kusaidia familia 5,000

 

 

 

Umaskini na ufukara vina mfungamano na masuala ya kiroho na kisiasa. Ni muhimu kuvumbua mbinu za pamoja ili kutokomeza hali hii

Umaskini na ufukara vina mfungamano na masuala ya kiroho na kisiasa. Ni muhimu kuvumbua mbinu za pamoja ili kutokomeza hali hii

Siku ya Kupambana na Umaskini:"Njia ya kuelekea jamii zenye amani na umoja"

18/10/2017 09:49

Kila ifikapo tarehe 17 Oktoba ni Siku ya Kimataifa ya Kupambana na umaskini duniani ambapo takwimu za mwaka jana 2016 inakadiriwa watu bilioni moja wanaishi katika umaskini uliokithiri huku wengine zaidi ya milioni 800 wakikabiliwa na njaa.Mataifa 10 kutoka barani Afrika yanashika nafasi ya chini

 

Papa Francisko ndiye mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani kwa mwaka 2017.

Papa Francisko ndiye mgeni rasmi kwa maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani kwa Mwaka 2017.

Siku ya Chakula Duniani kwa Mwaka 2017: Papa Francisko mgeni rasmi

14/10/2017 15:15

Mapambano dhidi ya baa la njaa na utapiamlo wa kutisha ni kati ya changamoto zinazopaswa kuvaliwa njuga na Jumuiya ya Kimataifa kama sehemu ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Binadamu ifikapo mwaka 2030. Takwimu zinaonesha kwamba, baa la njaa linaongezeka duniani!