Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Telesphor Mkude

Kardinali Polycarp Pengo ameadhimisha kilele cha Jubilei ya Miaka 150 ya utume na uwepo wa Shirika la Roho Mtakatifu kwa kutoa Daraja ya Upadre.

Kardinali Polycarp Pengo ameadhimisha kilele cha Jubilei ya Miaka 150 ya uwepo na utume wa Shirika la Roho Mtakatifu nchini Tanzania.

Kardinali Polycarp Pengo: Shirika la Roho Mtakatifu, Jubilei Miaka 150

18/07/2018 15:10

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, tarehe 18 Julai 2018 ameadhimisha kilele cha Jubilei ya Miaka 150 ya utume na uwepo wa Wamisionari wa Shirika la Roho Mtakatifu nchini Tanzania kwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Shemasi Felix Justine Jabu, C.SS.P.

Askofu Mkude: Waamini wajitahidi kumfahamu na kuwambata Kristo Yesu pamoja na kudhibiti vilema vya maisha yao!

Askofu Mkude: Anawataka waamini wajitahidi kumfahamu, kumwambata na kumshuhudia Kristo katika uhalisia wa maisha ya pamoja na kujitahidi kudhibiti vilema vya maisha yao!

Ujumbe wa Pasaka 2018 kutoka kwa Askofu Mkude, Jimbo la Morogoro

31/03/2018 16:48

Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro nchini Tanzania katika maadhimisho ya Fumbo la Pasaka kwa Mwaka 2018 sanjari na Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara anawaalika waamini kujibidisha kumfahamu na kumshuhudia Kristo sanjari na kujizatiti katika kushinda vilema vyao!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.