Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii Tanzania imekuwa mstari wa mbele kutoa huduma za afya na elimu makini.

Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii nchini Tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma ya elimu, afya na maendeleo endelevu kwa kipindi cha miaka 25 iliyopita.

Uekumene wa huduma makini nchini Tanzania!

11/03/2017 11:22

Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii nchini Tanzania (CSSC) ilianzishwa kunako mwaka 1992 kama sehemu ya juhudi za Makanisa kudumisha Uekumene wa huduma kwa ajili ya familia ya Mungu nchini Tanzania kwa kujikita hasa katika elimu, afya na maendeleo endelevu ya binadamu! Imegota miaka 25!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linamshukuru Mungu kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo, Tanzania Bara.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuadhimisha Jubilei ya miaka 150 ya Ukristo, Tanzania Bara.

Sala ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo, Tanzania Bara

10/03/2017 11:13

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linamshukuru na kumwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo, Tanzania Bara. Maaskofu wanalishukuru Shirika la Roho Mtakatifu; wanagusia kukua na kukomaa kwa Kanisa na changamoto za Tanzania.

 

Mchakato wa Uinjilishaji mpya unajikita katika familia ambacho ni kitovu cha Uinjilishaji!

Mchakato wa Uinjilishaji mpya unajikita katika tunu msingi za maisha ya kifamilia, kitovu cha Uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Familia ni kitovu cha Uinjilishaji!

03/02/2017 13:42

Maadhimisho ya Sinodi za Maaskofu kwa ajili ya familia na hatimaye, Baba Mtakatifu Francisko kuchapisha Wosia wa Kitume kuhusu Furaha ya upendo ndani ya familia ni kutaka kuonesha umuhimu wa tunu msingi za maisha na utume wa familia katika mchakato wa Uinjilishaji mpya kwa sasa!

Kutokana na ukame na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo Tanzania, Maaskofu wanawaomba waamini kusalii, kufunga na kukesha ili kuombea mvua.

Kutokana na ukame na uhaba wa chakula katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kusali, kufunga, kukesha na kuhiji ili kumlilia Mungu aweze kuwajalia mvua ya kutosha kwa ajili ya shughuli za kilimo!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: kuna ukame na njaa!

14/01/2017 12:48

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawaomba waamini na watu wote wenye mapenzi mema kusali, kufunga, kufanya hija na mkesha kwa ajili ya kumwomba Mwenyezi Mungu ili aweze kuwajalia mvua ya kutosha kwa ajili ya shughuli za kilimo kwani kuna ukame na uhaba wa chakula Tanzania!

 

Siku kuu ya B.M. Mkingiwa Dhambi ya Asili inaadhimishwa kitaifa nchini Tanzania tarehe 9 Desemba, Siku Tanzania ilipojipatia uhuru wake.

Siku kuu ya B. M. Mkingiwa Dhambi ya Asili inaadhimishwa kitaifa nchini Tanzania tarehe 9 Desemba, Siku ambayo Tanzania ilijipatia uhuru wake kutoka kwa Waingereza.

Siku kuu ya B.M. Mkingiwa Dhambi ya Asili Msimamizi wa Tanzania

08/12/2016 08:23

Kutokana na ombi lililowasilishwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kwa Mtakatifu Yohane Paulo II kunako mwaka 1984 akaandika Waraka kuhusu Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili kuwa ni Msimamizi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Siku kuu inayoadhimishwa sasa tarehe 9 Desemba.

Tubuni na kuiamini Injili ni mwaliko na ujumbe endelevu katika historia na maisha ya waamini!

Tubuni na kuiamini Injili ni mwaliko na ujumbe endelevu katika historia na maisha ya waamini, ili kuendelea kuikimbilia na kuiambata huruma na upendo wa Mungu katika maisha yao!

Tubuni na kuiamini Injili ni mwaliko endelevu kwa waamini!

18/11/2016 07:39

Kufungwa kwa maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu si mwisho wa kukimbilia na kuambata huruma ya Mungu katika maisha, bali ni mwanzo wa safari ndefu inayowaalika waamini kuhakikisha kwamba, neema na baraka za Mwaka wa huruma zinaendelezwa na kudumishwa!

Familia ya Mungu Barani Afrika haina budi kukuza na kudumisha ukuu na utakatifu wa ndoa na familia.

Familia ya Mungu Barani Afrika haina budi kukuza na kudumisha ukuu na utakatifu wa ndoa na familia.

SECAM: Askofu Ngalalekumtwa ana neno la kusema!

21/07/2016 16:11

Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anasema, ili kujenga familia aminifu, dumifu na takatifu Barani Afrika kuna haja ya kuwekeza kwanza kabisa katika maandalizi ya wanandoa watarajiwa: kwa njia ya katekesi makini na endelevu; kiroho na kimwili!