Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Philip Arnold Subira Anyolo

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaongoza Baraza hilo kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaoliongoza Baraza hili kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya lapata "vigogo wapya"

16/04/2018 11:42

Askofu Philip Arnold Subira Anyolo amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya, Askofu Obala Owaa kuwa Makamu wa Rais, Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde ataendelea kuwa ni Mwenyekiti wa Shirika la Misaada ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. 

 

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limetoa tamko kukazia uhuru wa vyombo vya habari, haki msingi za binadamu na utawala wa sheria kwa mujibu wa Katiba

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limetoa tamko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari, haki msingi za binadamu pamoja na utawala wa sheria kadiri ya Katiba ya nchi ya Kenya.

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya latoa tamko kuhusu hali ya Kenya!

06/02/2018 15:46

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema katika tamko lake kwamba, lina dhamana ya kuhakikisha kwamba linadumisha mchakato wa haki, amani na maridhiano ya kitaifa ili kujenga na kudumisha umoja wa kitaifa, haki msingi za binadamu pamoja na uhuru wa watu kujieleza kikatiba!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga amani, utulivu na maridhiano ili kufanikisha uchaguzi mkuu Oktoba!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha: haki, amani na utulivu ili kufaninikisha mchakato wa uchaguzi mkuu tarehe 26 Oktoba 2017.

Rais Uhuru Kenyatta na Bwana Odinga wahimizwa kudumisha majadiliano

10/10/2017 14:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linawataka wananchi kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano ili hatimaye kufanikisha uchaguzi mkuu wa marudiano hapo tarehe 26 Oktoba 2017. Wanamsihi Rais Uhuru Kenyatta kuendeleza majadiliano katika ukweli na uwazi na Bwana Raila Odinga.