Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Msonganzila: Upendo kwa Utume

Parokia ya Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma imeadhimisha Jubilei ya Miaka 25 ya kuzindua ukarabati wa Hekalu la Huruma ya Mungu.

Parokia ya Kiabakari Jimbo Katoliki la Musoma imeadhimisha kilele cha Jubilei ya miaka 25 na kuzindua ukarabati wa Hekalu la Huruma ya Mungu.

Parokia ya Kiabakari na mchakato wa kumwilisha huruma ya Mungu

24/08/2017 12:37

Familia ya Mungu Parokia ya Kiabakari Jimbo Katoliki la Musoma, inamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuisimamia katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, inaomba toba na msamaha; inataka tena kujiaminisha kwa Roho Mtakatifu ili kuthubutu zaidi katika mchakato wa maboresho ya maisha na utume wa Kanisa.

 

Kwa miaka 25 Parokia ya Kiabakari imejikita katika kumwandalia Mungu mifumo ya huruma ya Mungu inayogusa mtu: kiroho, kiakili na kimwili!

Kwa miaka 25 Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma imejitahidi kumwandalia Mungu miundo mbinu inayomgusa mtu: kiroho, kiakili na kimwili, sasa imeamua kuthubutu zaidi....!

Jubilei ya Miaka 25 ya Parokia ya Kiabakari, sasa inataka kuthubutu!

24/08/2017 12:16

Katika kipindi cha Miaka 25 iliyopita, Parokia ya Kiabakari Jimbo la Musoma imefanikiwa kujenga Hekalu la Huruma ya Mungu inayomgusa mwanadamu: kiroho, kimwili na kiakili; wakajenga taasisi za elimu na afya; sasa wanataka kuthubutu: kujitegemea, kukuza miito na kuboresha huduma za kiroho!

Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma inaadhimisha Jubilei ya Miaka 25 kwa kumshukuru Roho Mtakatifu aliyewezesha kumwilisha ndoto ya huruma!

Parokia ya Kiabakari Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania inamshukuru Roho Mtakatifu aliyesaidia kumwilisha ndoto ya huruma ya Mungu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania.

Jubilei ya Miaka 25 ya Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma

19/08/2017 14:51

Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania inamshukuru Mungu Roho Mtakatifu aliyeiwezesha kumwilisha ndoto ya huruma ya Mungu kwa familia ya Mungu ndani na nje ya Tanzania, leo hii Parokia ya Kiabakari inaadhimisha Jubilei ya Miaka 25 ya uwepo wake kama matunda ya Roho Mtakatifu.

Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua umuhimu wa Jubilei katika maisha ya waamini.

Askofu Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maana na umuhimu wa maadhimisho ya Jubilei mbali mbali nchini Tanzania.

Askofu Msonganzila afafanua Jubilei ya Miaka 150, 100 na 60 ya Jimbo

14/08/2017 14:53

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jimbo la Musoma na umuhimu wake kwa watu wa Mungu!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki!

11/07/2017 15:32

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara na Miaka 100 ya Upadre Tanzania ni fursa inayotumiwa na Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha na Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma kufafanua umuhimu wa mji wa Bagamoyo kama mlango wa imani!

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkatoliki.

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha zaidi utambulisho wa Padre Mkatoliki anasema Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma katika Barua yake ya kichungaji upendo kwa utume.

Mwaka wa Padre Tanzania: Utambulisho wa Padre Mkatoliki!

07/07/2017 17:28

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania iwe ni fursa ya kukuza na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkalatoliki kwa njia ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko kama walivyofanya watakatifu Marximilliano Maria Kolbe kwa kujisadaka kwa ajili ya huduma ya upendo kwa jirani zao!

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo la Musoma, Tanzania.

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, katika Barua yake ya Kichungaji Upendo kwa Utume, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahali, Jimbo Katoiki Musoma.

Kanisa Mahalia Jimbo la Musoma, Tanzania

06/07/2017 15:39

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania katika Barua yake ya kichungaji Upendo kwa Utume anapembua kuhusu harakati za uinjilishaji Tanzania Bara mintarafu historia, ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo Katoliki Musoma na mwishoni ni maadhimisho ya Jubilei hizi.