Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Zbignevs Stankevics

Papa Francisko kutembelea Nchi za Baltic kuanzia tarehe 22-25 Septemba 2018.

Papa Francisko kutembelea Nchi za Baltic kuanzia tarehe 22 hadi tarehe 25 Septemba 2018.

Papa Francisko mwezi Septemba 2018 kutembelea nchi za Baltic!

12/03/2018 12:33

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia ombi lililowasilishwa kwake na Maaskofu Katoliki kutoka Lithuania, Latvia na Estonia kwa kushirikiana na viongozi wao la kutaka atembelee katika nchi zao. Hija hii itakuwa hapo tarehe 22 hadi 25 Septemba 2018. Familia ya Mungu katika eneo hili inampongeza Papa!

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo Duniani: 18- 25 Januari 2016

Juma la kuombea Umoja wa Wakristo Duniani: tarehe 18 hadi tarehe 25 Januari 2016.

Mpate kuzitangaza fadhili za Mungu!

10/01/2016 11:51

Jumuiya ya Kikristo kutoka Lithuania ndiyo iliyokabidhiwa dhamana ya kuandaa muswada wa tafakari kwa ajili ya kuombea Umoja wa Wakristo kuanzia tarehe 18 Januari hadi tarehe 25 Januari, Kanisa linapoadhimisha Siku kuu ya Kuongoka kwa Mtakatifu Paulo, mwalimu na mtume wa mataifa.