Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha waamini wengi kuguswa na upendo na huruma ya Mungu katika maisha yao, kiasi cha kutubu na kuongoka!

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha waamini wengi kutubu na kumwongokea Mungu kwa kuacha njia zao mbaya.

Mashuhuda wa mwaka wa huruma ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza!

21/04/2017 12:32

Maadhimisho ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu imekuwa ni fursa ya kutubu na kumwongokea Mungu; nafasi ya kujipatanisha na Mungu pamoja na jirani; muda muafaka wa kurekebisha maisha ya Kikristo ili kuambata rehema na neema za Mwaka wa Jubilei ya huruma ya Mungu!

Mwaka wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu kutoka kwa Kristo  na Kanisa lake!

Mwana wa huruma ya Mungu umewawezesha watu wengi kuguswa na huruma na upendo wa Mungu unaobubujika kutoka kwa Kristo Yesu na Kanisa lake anasema Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania.

Matunda ya Maadhimisho ya Mwaka wa huruma, Jimbo kuu la Mwanza!

20/04/2017 11:00

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anasema, baada ya familia ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza kukitumia vyema kipindi cha maadhimisho pamoja na nyongeza yake, Jumapili ya huruma ya Mungu, tarehe 23 Aprili 2017 wanaufunga rasmi mwaka wa huruma, lakini...!

Askofu mkuu Ruwaichi anawataka waamini kutambua, kuenzi na kuheshimu ukuu na utakatifu wa Sakramenti ya Ekaristi Takatifu na Daraja Takatifu.

Askofu mkuu Ruwaichi anawataka waamini kutambua na kuenzi ukuu na utakatifu wa Sakramenti ya Ekaristi Takatifu pamoja na Daraja Takatifu.

Askofu mkuu Ruwaichi: Tambueni ukuu na utakatifu wa Sakramenti!

13/04/2017 14:52

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anawataka waamini kutambua, kuthamini na kuenzi ukuu na utakatifu wa Sakramenti ya Ekaristi Takatifu chanzo na kilele cha maisha na utume wa Kanisa pamoja na Sakramenti ya Daraja; Sakramenti pacha!

Askofu mkuu Ruwaichi anawaalika waamini kujiandaa vyema ili kushiriki kikamilifu Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu.

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza anawaalika waamini kujiandaa vyema kuadhimisha Fumbo la Pasaka,yaani mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu.

Jiandaeni vyema kuadhimisha Fumbo la Pasaka

12/04/2017 10:40

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi anawaalika waamini kujiandaa kikamilifu katika maadhimisho ua Fumbo la Pasaka; kwa toba na wongofu wa ndani; kwa sala na tafakari ya kina ya Neno la Mungu; Sakramenti za Kanisa na matendo ya huruma, ili kufundwa a kugangwa na neema ya Mungu katika maisha!

Jimbo kuu la Mwanza liko tayari kuwasikiliza, kusali na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao anasema Askofu mkuu Ruwaichi.

Jimbo kuu la Mwanza anasema Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi liko tayari kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwajengea vijana uwezo wa kupambana na mazingira yao kama sehemu ya utume wa vijana ndani ya Kanisa.

Askofu mkuu Ruwaichi: Utume wa Vijana Jimbo kuu la Mwanza

11/04/2017 10:46

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza, Tanzania anasema, ili kweli vijana waweze kutambua na kushiriki kikamilifu katika maisha na utume wa Kanisa wanapaswa kujikita katika: Neno la Mungu; mashuhuda wa huruma ya Mungu; maisha ya sala na kuthubutu kusimamia ukweli!

Maadhimisho ya Juma la Wagonjwa Jimbo Kuu la Mwanza Tanzania ni kuwa karibu zaidi na wagonjwa!

Maadhimisho ya Juma la Wagonjwa Jimbo Kuu la Mwanza ni kuwa karibu zaidi na wagonjwa wanaoteseka: kimwili, kiroho, kiakili na kidhamiri!

Maadhimisho ya Juma la Wagonjwa Jimbo kuu la Mwanza

10/02/2017 14:51

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Mwanza katika mahojiano maalum na Radio Vatican anasema, familia ya Mungu Jimbo kuu la Mwanza inaadhimisha Juma la Wagonjwa: ili kuwa karibu na wagonjwa, kuwasogezea huduma pamoja na katekesi ya kina juu ya Fumbo la Msalaba!

Katika ulimwengu mamboleo, Kanisa linawahitaji watawa wakakamavu katika mambo matakatifu!

Katika ulimwengu mamboleo, Kanisa linawahitaji watawa wakakamavu katika mambao matakatifu!

Askofu mkuu Ruwaichi: Kanisa linawahitaji watawa wakakamavu!

02/02/2017 15:50

Katika maadhimisho ya Siku ya 21 ya Watawa Duniani, Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo kuu la Mwanza anasema, katika ulimwengu wa utandawazi, sayansi na maendeleo ya teknolojia kwa hakika Kanisa linawahitaji watawa wakakamavu katika mambo matakatifu na wala si vinginevyo!

Askofu mkuu Ruwaichi anawataka watanzania kuwajibika katika utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote!

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaich anawataka watanzania kuwajibika katika utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote!

Jiandaeni na wajibikeni vyema kukabiliana na baa la njaa Tanzania

31/01/2017 15:05

Askofu mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi anawataka watanzania kuwa ni sehemu ya majibu ya changamoto zinazowakabili katika utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote! Anawashauri wanasiasa kufikiri kwa makini ili kiutenda katika uwazi, ukweli, uzalendo na uwajibikaji wa dhati kwa changamoto za sasa!