Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Waldemar Stanislaw Sommertag

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani sana mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa nchini humo.

Viongozi wa Kanisa washambuliwa nchini Nicaragua! Maaskofu washutumu!

10/07/2018 15:30

Baraza la maaskofu Katoliki Nicaragua pamoja na Baraza la Maaskofu katoliki Costa Rica wameungana pamoja kulaani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa yaliyofanywa huko nchini Nicaragua wakati viongozi hao walipokuwa wakitekeleza utume wao wa kuwafariji maskini na wagonjwa!

Papa Francisko anaungana na Maaskofu Katoliki Nicaragua kulaani ghasia, vurugu na mauaji ; Kanisa litaendeleza majadiliano katika ukweli na uwazi.

Papa Francisko anaungana na Maaskofu Katoliki Nicaragua kulaani ghasia, vurugu na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia. Kanisa linataka kujikita katika majadiliano katika ukweli na uwazi.

Papa Francisko: Ghasia Nicaragua: Dumisheni maisha na majadiliano

04/06/2018 09:08

Baba Mtakatifu Francisko anaungana na Baraza la Maaskofu Nicaragua kulaani vitendo vya vurugu na ghasia ambavyo vimesababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa vibaya. Anasema, Kanisa linakazia umuhimu wa kuheshimu zawadi ya maisha na kudumisha majadiliano katika ukweli!

Askofu anao wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu!

Askofu anao wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Papa: Kazi ya Askofu ni kufundisha, kuongoza na kutakatifuza!

20/03/2018 10:05

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wajibu wa kwanza wa Askofu ni kusali, ili aweze kutekeleza vyema dhamana ya kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu; kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu, daima akionesha umoja wa urika na Maaskofu pamoja Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Katika maadhimisho ya Sherehe ya Mtakatifu Yosefu, Papa Francisko anatarajiwa kuwaweka wakfu Maaskofu wateule, wawakilishi wake duniani!

Katika maadhimisho ya Sherehe ya Mtakatifu Yosefu, Mume wake Bikira Maria, Baba Mtakatifu Francisko atawaweka wakfu Maaskofu wapya wateule, watakaomwakilisha sehemu mbali mbali za dunia.

Sherehe ya Mt. Yosefu, Papa Francisko kuwaweka wakfu Maaskofu wakuu

17/03/2018 14:14

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Mtakatifu Yosefu, Mume wake Bikira Maria, sanjari na kumbu  kumbu ya miaka mitano, tangu aanze utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro, anatarajia kuwaweka wakfu Maaskofu wakuu watatu aliowateuwa kuwa Mabalozi wa Vatican!