Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Vincenzo Paglia

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae", 25 Julai 1968: Changamoto Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa Paulo VI "Humanae vitae", mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kusimamakidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya maisha.

Kanisa litaendelea kujizatiti kutetea Injili ya uhai!

29/05/2018 13:30

Mama Kanisa tarehe 25 Julai 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 50 tangu Mwenyeheri Paulo VI alipochapisha Waraka wake wa Kitume "Humane vitae" yaani "Maisha ya mwanadamu" kwa kuonesha dhamana na wajibu wa kurithisha zawadi ya uhai; kwa uhuru na waujibaki mkubwa!

Waraka wa Furaha ya Upendo ni lazima kuusoma na kuuelewa kwa kina ili kuweza kushinda vikwazo na migogoro kati ya mafundisho na matendo ya kichungaji

Waraka wa Furaha ya Upendo ni lazima kuusoma na kuuelewa kwa kina ili kuweza kushinda vikwazo na migogoro kati ya mafundisho na matendo ya kichungaji

Askofu Mkuu Paglia, mwilisheni furaha ya upendo katika familia!

20/03/2018 15:38

Kanisa siyo ya kushutumu familia adharani,hata mahakama ya kuhukumu udhaifu wa maisha.Haya yamethibitishwa na Askofu Mkuu Vincenzo Paglia Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya maisha na Kansela wa Taasisi ya Kipapa  Yohane Pauli II,akiwa huko Querétaro nchini Mexico 

 

Magonjwa yasiyo na tiba hadi kifo yanahitaji tiba mbadala, uvumilivu na upendo mkuu wa binadamu

Magonjwa yasiyo na tiba hadi kifo yanahitaji tiba mbadala ,uvumilivu na upendo mkuu wa binadamu

Barua ya Kard. Parolin kwa Askofu Paglia katika Mkutano wa Tiba mbadala!

28/02/2018 16:16

Barua ya Kardinali Pietro Parolin kwa Askofu Mkuu Vincenzo Paglia wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Maisha katika tukio la mkutano kimataifa wa afya juu ya tiba mbadala ya wagonjwa anbao hawana tiba wakisinidikizwa taratibu hadi mwisho wao wa maisha.Ni suala nyeti linalohitaji upendo mkuu.

 

 

Maendeleo ya sayansi na teknolojia yasaidie kulinda na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Maendeleo ya sayansi na teknolojia yasaidie kukuza na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Maendeleo ya teknolojia na uwajibikaji katika maisha ya binadamu!

03/10/2017 14:43

Maendeleo ya sayansi na teknolojia katika maisha ya mwanadamu, yamekuwa ni changamoto pevu inayopaswa kuwawajibishwa kusimama kidete: kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo! Maisha yalindwe katika hatu zake zote na sayansi iwe ni rafiki wa utu na heshima ya watu!

Wazazi wa Marehemu mtoto Charlie Gard wa Uingereza watakumbukwa kwa kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo!

Wazazi wa Marehemu Mtoto Charlie Gard watakumbukwa katika huistoria kwa kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo.

Kifo cha Mtoto Charlie Gard, kimewagusa na kuwatikisa watu wengi!

29/07/2017 14:19

Familia ya Bwana na Bibi Chris Gard na mkewe Connie Yates itabaki kuwa ni mfano bora wa kuigwa katika mapambano dhidi ya utamaduni wa kifo unaokumbatiwa na sera za kifo laini. Ni wazazi ambao wamejitahidi kadiri ya uwezo wao kuendeleza maisha ya mtoto wao hadi dakika ya mwisho!