Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Telesphore George Mpundu

Askofu mkuu Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kurejea na kupyaisha Waraka wa Paulo VI "Africae Terrarum"

Askofu mkuu Protase Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kufanya rejea na kupyaisha Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" yaani "Bara la Afrika".

Askofu mkuu Rugambwa: AMECEA fanyeni rejea kwa Waraka Africae Terrarum

16/07/2018 14:47

Askofu mkuu Protase Rugambwa amewataka Mababa wa AMECEA katika mkutano wao wa 19 kufanya rejea tena kwenye Waraka wa Kitume ulioandikwa na Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" unaobainisha: amana, utajiri, tunu msingi, changamoto na matumaini ya familia ya Mungu Barani Afrika!

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa, Ethiopia kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018.

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kukazia hadhi sawa, umoja na amani ndani ya Mwenyezi Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Mkutano Mkuu wa 19 wa AMECEA kutimua vumbi Addis Ababa, Ethiopia

11/07/2018 08:23

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018 linafanya mkutano wake mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kuongozwa na kauli mbiu "tofauti mtetemo, hadhi sawa, umoja wa amani ndani ya Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Askofu Alick Banda ateuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Lusaka, Zambia.

Askofu Alick Banda ateuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Lusaka, Zambia.

Askofu Alick Banda ateuliwa kuwa Askofu mkuu Jimbo kuu la Lusaka!

30/01/2018 12:16

Askofu Alick Banda aliyezaliwa kunako mwaka 1963 na kupewa Daraja Takatifu ya Upadre mwaka 1994; akateuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Solwezi mwaka 2009 na hatimaye, Askofu mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Ndola mwaka 2010, ameteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Lusaka, Zambia.

 

Kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu nchini Zambia.

Kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu nchini Zambia.

Zambia Miaka 125 ya huruma na upendo: Sasa ni muda wa ushuhuda!

20/07/2017 15:03

Familia ya Mungu nchini Zambia imeadhimisha kilele cha Jubilei ya miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu hapo tarehe 15 Julai 2017. Sasa waamini wanahamasishwa kuwa ni mashuhuda aminifu wa Kristo na Kanisa lake; kwa kulitegemeza Kanisa mahalia; kielelezo cha ukomavu wa imani!