Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Stanislaw Gadecki

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linawapongeza wabunge waliosimama kidete kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Maaskofu Poland wawapongeza wabunge kwa kusitisha utoaji mimba!

20/03/2018 12:08

Baraza la Maaskofu Katoliki Poland linaipongeza familia ya Mungu nchini humo kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo uliotaka kuhalalishwa kwa njia ya muswada wa sheria ya utoaji mimba! Huu ulikuwa ni ukiukwaji wa haki msingi za binadamu!

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anawaalika waamini na watu wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao!

Miaka 5 ya maisha na utume wake, Papa Francisko anaendelea kuwaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza katika maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro!

Miaka 5 tangu Papa Francisko achaguliwe kuliongoza Kanisa Katoliki!

12/03/2018 10:16

Tangu mwanzo wa maisha na utume wake kama Khalifa wa Mtakatifu Petro, Baba Mtakatifu Francisko amekuwa daima akiwaomba waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka zao ili aweze kutekeleza vyema dhamana na wajibu wake kwa Kanisa la Kristo!