Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Protase Rugambwa

Askofu mkuu Protase Rugambwa: AMECEA msikubali kutumbukia katika ukabila na udini usiokuwa na mvuto wa mashiko kwa maendeleo ya watu wa Mungu.

Askofu mkuu Protase Rugambwa: Amewataka Mababa wa AMECEA kutokubali kutumbukizwa katika sera za ukabila na udini usiokuwa na mvuto wala mashiko kwa ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu Barani Afrika.

AMECEA: Msikubali ukabila na udini viwapekenyue na kusababisha maafa

17/07/2018 14:00

Askofu mkuu Protase Rugambwa, amewataka Mababa wa AMECEA kujenga na kudumisha umoja, udugu na mshikamano kama dira na mwongozo wa watu wa Mungu Barani Afrika. Usawa na utofauti kati ya watu ni sehemu ya mpango wa Mungu, ili kutajirishana na kushirikishana: karama, fadhila na wema!

Askofu mkuu Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kurejea na kupyaisha Waraka wa Paulo VI "Africae Terrarum"

Askofu mkuu Protase Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kufanya rejea na kupyaisha Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" yaani "Bara la Afrika".

Askofu mkuu Rugambwa: AMECEA fanyeni rejea kwa Waraka Africae Terrarum

16/07/2018 14:47

Askofu mkuu Protase Rugambwa amewataka Mababa wa AMECEA katika mkutano wao wa 19 kufanya rejea tena kwenye Waraka wa Kitume ulioandikwa na Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" unaobainisha: amana, utajiri, tunu msingi, changamoto na matumaini ya familia ya Mungu Barani Afrika!

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa, Ethiopia kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018.

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kukazia hadhi sawa, umoja na amani ndani ya Mwenyezi Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Mkutano Mkuu wa 19 wa AMECEA kutimua vumbi Addis Ababa, Ethiopia

11/07/2018 08:23

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018 linafanya mkutano wake mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kuongozwa na kauli mbiu "tofauti mtetemo, hadhi sawa, umoja wa amani ndani ya Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa, uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ameeleza umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa!

28/05/2018 15:03

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa njia ya Video kwa ajili ya shughuli ya kipapa za kimisionari,(POM) kufuatia ufunguzi wa Mkutano wao mkuu wa mwaka, tarehe 28 Mei 2018.Katika ujumbe anaonesha kwa dhati umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa mahalia na ulimwengu!

 

 

Dhamana na utume wa Askofu ni: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Dhamana na utume wa Askofu ni: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Askofu mkuu Rugambwa asema, Askofu mpya ni alama ya upendo wa Mungu

15/05/2018 10:30

Askofu mkuu Protase Rugambwa anasema, uteuzi na hatimaye, kuwekwa wakfu kwa Askofu mpya ni alama ya upendo wa Mungu kwa waja wake. Kwa namna hii, Askofu hushika nafasi ya Kristo mwenyewe, aliye mwalimu, mchungaji na kuhani na kutenda kazi hii kwa nafsi ya Kristo!

Askofu mkuu Protase Rugambwa kuanzia tarehe 1-12 Mei 2018 anatembelea baadhi ya nchi zilizoko Kusini mwa Afrika.

Askofu mkuu Protase Rugambwa, kuanzia tarehe 1-12 Mei 2018 anatembelea baadhi ya nchi zilizoko Kusini mwa Afrika.

Askofu mkuu Protase Rugambwa anatembelea Namibia na Botswana

28/04/2018 15:43

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu kuanzia tarehe 1-12 Mei 2018 anafanya ziata ya kikazi katika baadhi ya nchi zilizoko Kusini mwa Afrika, hususan Namibia na Bostwana ili kujifunza zaidi maisha na utume; fursa, changamoto na matatizo ya Makanisa!

Uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu.

Uonghozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu.

Watanzania: Uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya watu wa Mungu!

27/02/2018 07:53

Familia ya Mungu nchini Tanzania inapoadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara, kwa kuongozwa na kauli mbiu "Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili" wanakumbushwa kwamba, uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu!

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Protase Rugambwa kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Protase Rugambwa kuwa Katibu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu

Askofu Mkuu P.Rugambwa amekuwa Katibu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

09/11/2017 12:50

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Protase Rugambwa kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu. Askofu mkuu Rugambwa alizaliwa tarehe 31 mei 1960 huko Bunena-Bukoba nchini Tanzania.Daraja ya Upadre na Papa Yohane Paulo II, 2 Sep 1990