Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu
Lugha:
Askofu Mkuu PierBattista Pizzaballa
Tarehe 12 -15 Aprili kongamano la 62 la Waseminari nchini Italia, na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano -Roma
Tarehe 12 -15 Aprili litafanyika Kongamano la 62 la kitaifa kwa Waseminari nchini Italia litakalofanyika huko Padua;na kuanzia 28 Aprili hadi Mei Mosi litafanyika Kongamano la Vijana wamisionari huko Sacrofano-Roma likiongozwa na kauli mbiu:lakini kwakuwa umesema nitatupa ndoto zangu
Askofu mkuu Pirebattista Pizzaballa amezungumzia kuhusu maisha na utume wa Kanisa pamoja na changamoto mamboleo zilizopo kwa sasa.
Askofu mkuu Pierbattista Pizzaballa amedadavua hali ya maisha na utume wa Kanisa huko Mashariki ya kati pamoja na changamoto zinazojitokeza kutoka ndani na Jumuiya ya Kimataifa mintarafu uhuru wa kuabudu, kinzani na machafuko mbali mbali yanayoendelea kujitokeza hasa mjini Yerusalemu.
Balozi wa Kitume wa Papa katika nchi Takatifu Askofu Mkuu Giuseppe Lazzarotto amemaliza muda wake wa utume baada ya miaka mitano
Tarehe 27 Agosti Yerusalem, ilifanyika misa ya kumuaga Balozi wa Kitume wa Papa nchiTakatifu,Askofu Mkuu Giuseppe Lazzarotto ambaye amekuwa huko kwa miaka mitano.Katika mahubiri yake amesema kuwa amepanda mbegu ya matumaini katika ardhi yenye rutuba, ambayo inahitaji wakulima.
Mitandao ya kijamii: