Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Paul Ruzoka

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya Sadaka, Shukrani, Masifu na Kumbu kumbu endelevu ya uwepo wa Kristo!

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya Sadaka, Shukrani na Kumbu kumbu endelevu ya uwapo wa Kristo Yesu kati ya watu wake.

Ibada ya Kuabudu Ekaristi Takatifu iwe ni chemchemi ya utakatifu

02/06/2018 13:00

Maadhimisho ya Fumbo la Ekaristi Takatifu yawasaidie waamini kuwa ni wamisionari na wafuasi amini wa Kristo Yesu; kwa kujenga na kudumisha na mshikamano wa Kanisa; kwa kupyaisha ari na mwamko wa kimisionari katika Makanisa mahalia, ili Kanisa liwe ni chombo cha haki, amani na ustawi!

Ushemasi ni Daraja ya Huduma kwa watu wa Mungu!

Ushemasi ni Daraja ya Huduma kwa watu wa Mungu.

Mafrateri wawili kutoka Tanzania wapewa Daraja ya Ushemasi, Roma

09/05/2018 09:59

Shemasi Jerome Gerald Mkindi kutoka Jimbo Katoliki la Same pamoja na Shemasi Christian Mpalasinge Kapaya kutoka Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Tanzania ni kati ya Mashemasi saba waliopewa Daraja hili hapo tarehe 1 Mei 2018 Jimbo kuu la Roma na Kardinali Giuseppe Versaldi.

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.