Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde

Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968 kwa kukazia: Injili ya familia & ushuhuda

Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo kuu la Mombasa, Kenya inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kwa kukazia: Injili ya familia; Sakramenti za Kanisa na Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo!

Jubilei ya Miaka 50 ya Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Mombasa!

16/07/2018 10:33

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo kuu la Mombasa, Kenya imekuwa ni fursa ya kuimarisha utume wa maisha ya ndoa na familia; Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo na ushuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake!

Viongozi wa kidini nchini Kenya wanasema, saratani ya rushwa inawapekenya sana wananchi inapaswa kutangazwa kuwa ni janga la kitaifa.

Viongozi wa kidini nchini Kenya wanasema, rushwa na ufisadi unawapekenya sana wananchi wa Kenya na inapaswa kutangazwa kuwa ni janga la kitaifa!

Viongozi wa Kidini Kenya wasema, rushwa ni janga la kitaifa!

13/07/2018 16:03

Viongozi wa kidini nchini Kenya wanasema, rushwa na ufisadi umewapekenya wananchi wa Kenya kiasi kwamba, imekuwa kama saratani inayoendelea kusababisha majanga katika maisha ya wananchi wengi! Wanamwomba Rais Kenyatta kutangaza kuwa sasa rushwa ni janga la kitaifa!

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo!

Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo.

Askofu mkuu Kivuva Musonde: Ekaristi ni Sakramenti ya haki na amani

02/06/2018 14:00

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa anasema, Ekaristi Takatifu ni Sakramenti ya haki, amani na upendo kati ya watu wa Mataifa. Kumbe, waamini wanaposhiriki kikamilifu katika mafumbo haya wanatumwa kuwa wajenzi wa Ufalme wa Mungu katika: haki, amani, umoja na udugu!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaongoza Baraza hilo kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaoliongoza Baraza hili kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya lapata "vigogo wapya"

16/04/2018 11:42

Askofu Philip Arnold Subira Anyolo amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya, Askofu Obala Owaa kuwa Makamu wa Rais, Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde ataendelea kuwa ni Mwenyekiti wa Shirika la Misaada ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. 

 

Maaskofu Katoliki Kenya: Kwaresima ni fursa ya kujikita katika ukweli na haki kwa wote; kwa kukuza majadiliano na upatanisho wa kitaifa.

Maaskofu Katoliki Kenya: Kwaresima ni wakati muafaka wa kujikita katika ukweli na haki kwa wote ni muda muafaka wa kukuza na kudumisha majadiliano na upatanisho wa kitaifa!

Kenya: Huu ni wakati wa ukweli, haki, majadiliano na upatanisho!

17/02/2018 08:10

Baraza la Maaskofu Katoliki Nchini Kenya linaialika familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha mchakato wa majadiliano katika ukweli na uwazi ili haki iweze kupatikana kwa wote! Changamoto na kinzani zilizojitokeza nchini Kenya zipatiwe ufumbuzi kwa njia ya majadiliano, amani na utulivu!

Jimbo Kuu la Mombasa limezindua Mpango Mkakati wa Maendeleo kwa kipindi cha Miaka kumi kuanzia sasa!

Jimbo kuu la Mombasa, Kenya limezindua Mpango Mkakati wa Shughuli za Maendeleo ya Kichungaji katika kipindi cha miaka kumi, mkazo ni majiundo, miundo mbinu na maboresho ya huduma kwa watu wa Mungu.

Jimbo kuu la Mombasa lazindua mpango mkakati wa kichungaji

08/02/2018 08:30

Jimbo kuu la Mombasa, nchini Kenya hivi karibuni limezindua mpango mkakati wa shughuli za kichungaji unaopaswa kutekelezwa katika kipindi cha miaka kumi kuanzia mwaka 2018 kwa kuwekeza zaidi katika majiundo makini na endelevu ya wakleri, watawa na waamini pamoja na kuboresha miundombinu!

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde anawataka watawa kudumisha umoja na udugu, upendo na mshikamano katika maisha na utume wao licha ya changamoto!

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde anawataka watawa kuhakikisha kwamba, wanajenga na kudumisha umoja na udugu, upendo na mshikamano katika maisha na utume wao, licha ya changamoto wanazokabiliana nazo kila siku!

Yaliyojiri katika maadhimisho ya Siku ya Watawa Jimbo kuu la Mombasa

06/02/2018 16:01

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa Kenya, anawataka watawa kujenga na kudumisha umoja na udugu, upendo na mshikamano wa dhati katika maisha na utume wao, licha ya changamoto mbali mbali wanaozokumbana nazo katika hija ya maisha na utume wao ndani ya Kanisa!