Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Marek Solczynski

Askofu Beatus Christian Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Askofu Beatus Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Yaliyojiri S'wanga wakati wa kuwekwa wakfu na kusimikwa Askofu Urassa

25/06/2018 14:30

Askofu anayo dhamana na wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu aliokabidhiwa kwake na Kanisa kwa kutambua kwamba, huu ni mwendelezo wa historia ya huruma na upendo wa Mungu unaopata chimbuko lake katika Daraja Takatifu ya Upadre! Wosia kwa Askofu Urassa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa.

Yaliyojiri Askofu mkuu Isaac Amani Massawe aliposimikwa Arusha

14/04/2018 16:50

Maadhimisho ya Ibada ya Masifu ya Jioni, Jumapili ya Huruma ya Mungu na hatimaye, Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha yalisheheni utajiri wa busara na hekima zilizotolewa na wahusika mbali mbali katika tukio hili la kihistoria!

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua na kuthamini ukuu wa DarajaTakatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri kilele cha maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania!

16/08/2017 14:00

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania imekuwa ni nafasi ya kutafakari: maisha, wito, dhamana, ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa ndani na nje ya Tanzania. Kimekuwa ni kipindi cha kuhamasisha miito ya Daraja Takatifu ya Upadre!

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa tarehe 15 Agosti 2017: Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni mwili na roho!

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa rasmi tarehe 15 Agosti 2017 wakati wa Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni.

Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania: Vigogo kutoka Vatican kushiriki

11/08/2017 14:09

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimisionari ya Kipapa pamoja na Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania wanashiriki katika kufunga Mwaka wa Padre nchini Tanzania!

Askofu mkuu Marek Solcynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania.

Askofu mkuu Marek Solcynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania, amewasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania, tarehe 1 Agosti 2017.

Askofu mkuu Marek Solczyński, awasilisha hati za utambulisho Tanzania

07/08/2017 14:00

Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania ni kati ya Mabalozi watano ambao hivi karibuni wamewasilisha hati zao za utambulisho kwa Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ambaye amekazia kwa namna ya pekee, diplomasia ya uchumi ili kukuza ushirikiano katika uchumi. 

 

Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania amewasili tayari kuanza kutekeleza utume wake.

Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania amewasili tayari kuanza utekelezaji wa dhamana na majukumu yake kama kiungo muhimu sana kati ya Khalifa wa Mtakatifu Petro na Kanisa mahalia.

Balozi wa Vatican nchini Tanzania awasili! Kumekucha!

19/07/2017 15:00

Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania amewasili na wakati wowote atawasilisha nyaraka zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano tayari kuanza kutekeleza dhamana na wajibu wake nchini Tanzania, kiungo muhimu kati ya Papa na Kanisa mahalia!