Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Marcel Utembi Tapa

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Askofu Mkuu Mkuu Marcel Utembi Tapa wa Kisangani, ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu wa Congo amefungua semina moja huko Kinshasa

Semina ya Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Kanda ya maziwa makubwa

06/06/2018 14:41

Hivi karibuni mjini Kinshasa imemalizika semina ya siku mbili ambayo ilikuwa na matunda ya kutafakari na kubadilishana utendeji wa shughuli zao za kitume, iliyoandaliwa na Shirikisho la Mabaraza ya Maakofu wa Kanda ya Afrika ya kati (Aceac) kwa kufunguliwa na  Askofu Mkuu,Marcel Utembe Tapa

 

Caritas Internationalis inasema, hali ni tete sana nchini DRC, kunahitajika msaada wa dharura ili kuokoa maisha ya watu wanaoendelea kuteseka.

Caritas Internationalis insema, hali ni tete sana nchini DRC kuna watu wanauwawa kila siku na watoto wengi wanaishi katika mazingira hatarishi.

Caritas Internationalis: DRC. Hali ni tete sana!

01/03/2018 10:23

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa, Caritas Internationalis linasema kwa sasa hali ni tete sana nchini DRC kutokana na vita, ghasia, kinzani na mipasuko ya kijamii kiasi kwamba, kuna maelfu ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi na watu wanaendelea kuuwawa!

Kanisa nchini DRC litaendelea kutangaza Injili ya haki, amani, utawala wa sheria mintarafu mwanga wa Injili na Mafundisho Jamii ya Kanisa.

Kanisa nchini DRC litaendelea kutangaza na kushuhudia: Injili ya haki, amani na utawala wa sheria mintarafu mwanga wa Injili na Mafundisho Jamii ya Kanisa.

Maaskofu Katoliki DRC: Utekaji nyara na mauaji ya viongozi wa Kanisa

29/09/2017 10:32

Machafuko ya kisiasa nchini DRC yamepelekea baadhi ya viongozi wa Kanisa kutekwa nyara, kuuwawa na hata wakati mwingine mali ya Kanisa kuharibiwa vibaya kwa misingi ya kisiasa. Lakini, Kanisa litaendelea kutangaza na kushuhudia: haki, amani, utawala wa sheria mintarafu mwanga wa Injili ya Kristo!

Ni matumaini ya Baraza la Maskofu Katoliki DRC kwamba, uchaguzi mkuu utaweza kufanyika mwaka 2017.

Ni matumaini ya Baraza la Maaskofu Katoliki kwamba, uchaguzi mkuu utaweza kufanyika nchini humo kwa mwaka 2017.

DRC: Je, kweli uchaguzi utafanyika nchini humo kwa Mwaka 2017?

08/07/2017 16:26

Familia ya Mungu inaendelea kujiuliza ikiwa kweli DRC itaweza kufanya uchaguzi wake mkuu kama ilivyokuwa imepangwa? Hii inatokana na ukweli kwamba, mchakato wa zoezi zima la upigaji kura ulionekana kana kwamba, usimama! Baraza la Maaskofu Katoliki DRC lina matumaini ya kufanyika uchaguzi mkuu!