Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu M. K. Musonde

Caritas Africa inapenda kujielekeza zaidi katika huduma ya maendeleo endelevu ya binadamu kama asili na utambulisho wa Kanisa

Caritas Africa inapenda kujielekeza katika mchakato wa huduma makini na endelevu kama asili na utambulisho wa Kanisa kati ya Watu wa Mataifa.

Caritas Africa mintarafu asili ya Kanisa na huduma endelevu!

27/12/2017 07:32

Askofu mkuu Martin Musonde Kivuva wa Jimbo kuu la Mombasa katika mahojiano na Radio Vatican ambayo kwa sasa inatambulikana kama "Vatican News" anachambua asili ya Kanisa kama chombo muhimu sana cha huduma mintarafu mchakato wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili!

Msafara wa mahujaji wa amani umeondoka Mombasa kuelekea Nairobi!

Msafara wa mahujaji wa amani umeondoka Mombasa kuelekea Nairobi ili kukutana na Baba Mtakatifu Francisko.

Maandamano ya amani yako njiani kuelekea Nairobi!

24/11/2015 10:17

Familia ya Mungu Jimbo kuu la Mombasa limeandaa maandamano ya amani yanayowashirikisha waamini kutoka katika dini na madhehebu mbali mbali  ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, umoja, upendo na mshikamano wa kitaifa!

 

Askofu mkuu Kivuva anachambua dhana ya upatanisho

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde anachambua dhana ya upatanisho katika maadhimisho ya Mwaka wa Upatanisho Barani Afrika.

Askofu mkuu Kivuva anachambua dhana ya Upatanisho Barani Afrika

29/07/2015 13:25

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa, Kenya anachambua kwa kina na mapana dhana ya upatanisho Barani Afrika kama sehemu ya mchakato wa kudumisha msingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu. 

Maaskofu wakuu wapya 2015

Maaskofu wakuu wapya 2015

Vijana msitafute mafanikio ya haraka kwa njia ya mkato!

29/06/2015 15:21

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa Kenya anasema waamini wanapaswa kuhakikisha kwamba, wanaimarisha, wanadumisha na kushuhudia imani na maadili kati ya watu wanaowazunguka, vijana kamwe wasitafute mafanikio ya haraka kwa njia za mkato. 

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde anawataka wananchi kudumisha amani.

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa, Kenya anawataka wananchi wa Kenya kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu.

Amani na utulivu ni kichocheo cha maendeleo endelevu!

27/06/2015 10:01

Askofu mkuu Martin Kivuba Musonde wa Jimbo kuu la Mombasa, Kenya katika mahojiano maalum na Radio Vatican anabainisha kwamba, amani na utulivu ni kichocheo kikuu cha maendeleo ya binadamu: kiroho na kimwili na kwamba, tofauti za kidini na kikabila ni utajiri mkubwa kwa wananchi wote wa Kenya.

Pallio Takatifu watakazopewa Maaskofu wakuu

Pallio Takatifu watakazopewa Maaskofu wakuu na baadaye kuvishwa na Mabalozi wa Vatican kwenye Majimbo yao.

Maaskofu wakuu 46, kati yao 8 kutoka Barani Afrika kupewa Pallio Takatifu

26/06/2015 16:20

Katika maadhimisho ya Sherehe ya watakatifu Petro na Paulo miamba wa imani kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican, Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kubariki na hatimaye kuwapatia Maaskofu wakuu wapya 48 Pallio Takatifu watakazovishwa majimboni mwao. 

 

Familia ya Mungu Kenya: shikamaneni katika haki na amani

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde anaitaka Familia ya Mungu nchini Kenya kushikamana katika haki, amani na upatanisho wa kitaifa.

Wakenya: shikamaneni katika misingi ya haki, amani na upatanisho!

16/04/2015 11:10

Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde wa jimbo kuu la Mombasa, Kenya anaitaka Familia ya Mungu nchini Kenya kushikamana katika mchakato wa kukuza na kudumisha misingi ya haki, amani na upatanisho wa kweli, ili amani na utulivu viweze kutawala tena nchini Kenya.