Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Justin Welby

Utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu, heshima na haki msingi za binadamu!

Utumwa mamboleo ni uhalifu dhidi ya utu na heshima ya binadamu.

Papa Francisko: Tushikamane kupambana na utumwa mamboleo duniani!

08/05/2018 13:26

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kuihamasisha Jumuiya ya Kimataifa kushikamana katika mapambano dhidi ya biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo kwa kuvunjilia mbali ukimya, kwa kuwasaidia waathirika kwa kukuza na kudumisha haki msingi za binadamu, utawala wa sheria na maendeleo.

Papa Francisko ni shuhuda wa majadiliano ya kiekumene yanayowawezesha Wakristo kutembea, kusali na kufanya kazi kwa umoja kwa ajili ya huduma!

Papa Francisko ni shuhuda na chombo cha majadiliano ya kiekumene kinachowawezesha Wakristo kutembea, kusali na kufanya kazi katika umoja kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko ni shuhuda wa majadiliano ya kiekumene katika huduma

13/03/2018 07:47

Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 13 Machi 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 5 tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki kwa kulitaka Kanisa kujielekeza zaidi katika: huduma kwa maskini kama amana na utajiri wa Kanisa; Amani na Utunzaji Bora wa Mazingira bila kusahau Uekumene!

Mchakato wa kiekumene ni kutembea kwa pamoja ili kuweza kufikia umoja wa kweli kama yalivyo matashi ya Bwana wetu Yesu Kristo

Mchakato wa kiekumene ni kutembea kwa pamoja ili kuweza kufikia umoja wa kweli kama yalivyo matashi ya Bwana wetu Yesu Kristo

Kazi kuu ya uekumene ni kutembea hatua kwa hatua pamoja kuelekea umoja!

24/02/2018 10:05

Sisi ni kitu kimoja pamoja na tofauti zetu na si wengi wanaotafuta kuwa wamoja.Ndilo linaitwa Kanisa la wasio kuwa na mwisho na ndiyo changamoto ya uekumene ambao Makanisa ya milenia ya tatu wanakabiliana nayo.Haya ni maneno ya askofu Mkuu Justin Welby wa Canterbury Uingereza

 

Askofu Mkuu wa Kianglikani Justin Welby anasema kuchaguliwa wa Tume mpya wa Muungano wa kianglikani itasaidia kukuza imani na maelewano ya muungano

Askofu Mkuu wa Kianglikani Justin Welby anasema kuchaguliwa wa Tume mpya wa Muungano wa kianglikani itasaidia kukuza imani na maelewano ya muungano huo

Tume mpya ya Shirikisho la Kianglikani itafanya mkutano karibuni huko Cairo

22/02/2018 14:37

Wajumbe wa Tume mpya ya Shirikisho la waanglikani,watakutana siku zijazo mjini Cairo Misri kwa ajili ya mkutano wao wa kwanza.Tume imechaguliwa kwa matashi ya Baraza kuu la ushauri la Kianglikani wakati wa mkutano wao huko Lusaka Zambia mwaka 2016.Ni kwa malengo kukuza imani kati yao

 

 

Askofu mkuu Justin Welby anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema kujenga utamaduni wa kuwakaribisha na kuwahudumia wakimbizi.

Askofu mkuu Justin Welbby anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga utamaduni wa kuwapokea na kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji!

Askofu mkuu Justin Welby: Onesheni ukarimu kwa wakimbizi na wahamiaji

28/12/2017 13:49

Wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji ni changamoto endelevu inayopaswa kuvaliwa njuga na waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kwa kujenga na kudumisha utamaduni wa ukarimu na upendo; kwa kuguswa na shida pamoja na mahangaiko ya watu wanaotafuta amani na usalama!

Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby akiwa anabariki Jimbo jipya wakati yuko ziarani nchini Sudan ya Kusini

Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby akiwa anabariki Jimbo jipya wakati yuko ziarani nchini Sudan ya Kusini

Watu wote wasali kwa ajili ya Sudan ya Kusini ili wapate msaada

01/08/2017 15:20

 Askofu Mkuu wa Canterbury J.Welby anasema nchi ya Sudan ni mfano wa kuigwa na wengi katika dunia hii kwa ajili ya wakimbizi na wenye kuhitaji.Anaamini  kwamba kupokea wakimbizi wengi namna hii imekuwa ni changamoto kubwa na watu wa Sudan wameonesha kuwa na ubinadamu wa kweli.