Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Joseph E. Kurtz

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Siku ya maombi ya kitaifa kwa ajili ya amani Marekani ina lengo la kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.

Marekani: Siku ya sala ya amani Kitaifa katika kupambana na ubaguzi

09/09/2017 10:06

Nchini Marekani tarehe 9 Septemba ni Siku ya kuombea amani Kitaifa.Lengo kubwa la kuanzisha maombi hayo ni kutokana na kutaka kupambana na dhambi kubwa ya ubaguzi wa rangi katika jumuiya za Marekani.Siku ya maombi kitaifa ilianzishwa mwaka jana na aliyekuwa Askofu Mkuu Joseph  Kurtz

 

Wananchi wa Marekani wanapaswa kumaliza tofauti zao baada ya uchaguzi mkuu, tayari kuambata mafao, ustawi na maendeleo ya wengi

Wananchi wa Marekani wanapaswa sasa kumaliza tofauti, kinzani na mipasuko iliyojitokeza wakati wa kampeni na uchaguzi mkuu, ili kuambata, ustawi, maendeleo na mafao ya wengi.

Salam na pongezi kutoka kwa Viongozi wa Makanisa kwa Rais Trump!

13/11/2016 09:41

Walimwengu walipigwa bumbuwazi, pale ambapo Bwana Donald Trump alipoibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa ni Rais wa 45 wa Marekani. Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani pamoja na viongozi wakuu wa Makanisa wanawataka Wamarekani kushikamana kwa ajili ya mafao na ustawi wa wengi.

Maaskofu Marekani wanamshukuru P. Lombardi na kuwapongeza Dr. Greg Burke na Dr. Paloma Ovejero kwa kuteuliwa kuwa wasemaji wakuu wa Vatican.

Maaskofu Marekani wanamshukuru P. Lombardi na kuwapongeza Dr. Greg na Dr. Paloma kwa kuteuliwa kuwa wasemaji wakuu wa Vatican.

Maaskofu USA wapongeza uteuzi wa Dr. Greg & Dr. Paloma

13/07/2016 15:04

Baraza la Maaskofu Katoliki Marekani linampongeza na kumshukuru Padre Federico Lombardi kutokana na mchango wake katika mchakato wa Uinjilishaji duniani! Wanamshukuru Papa kwa kuwateuwa Dr. Greg na Dr. Paloma kushika usukani kama wasemaji wakuu wa Khalifa wa Mtakatifu Petro.