Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Ivan Jurkovic

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya  SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki linajitahidi katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

Kanisa katoliki katika kutekeleza malengo endelevu ya SDGs ya ajenda 2030

26/06/2018 16:00

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic, mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva ametoa hotuba yake tarehe 25 Juni 2018 katika kikao cha 38 kitengo cha  haki za Binadamu,katika kikao cha  mada ya haki ya mafunzo,na kuonesha  juhudi za Kanisa Katoliki kwa mashule

 

Askofu Mkuu Jurkovic Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoa wa Mataifa mjini Geneva

Askofu Mkuu Jurkovic Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoa wa Mataifa mjini Geneva

Inahitaji utandawazi wa mshikamano na uwajibikaji katika dunia hii !

18/06/2018 08:55

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika ofisi za umoja wa mataifa, ametoa hotuba yake mjini  Geneva kuhusiana na majadiliano ya Global Compact ya wakimbizi na kwamba inahitaji utandawazi wa mshikamano na uwajibikaji wa kushirikisha kama asemavyo Papa Francisko

 

 

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika ulimwengu wa utandawazi yamekuwa na athari kubwa katika maisha ya kijamii na soko la ajira!

Maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika ulimwengu wa utandawazi yamekuwa na athari kubwa sana katika maisha ya kijamii hususan katika soko la ajira duniani na waathirika wakuu ni vijana wa kizazi kipya!

Changamoto ya maendeleo ya sayansi katika sekta ya kazi na ajira!

06/06/2018 08:58

Kanisa linafundisha kwamba, kazi ni utimilifu wa heshima na utu wa binadamu. Kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia katika ulimwengu wa utandawazi, fursa za ajira hasa kwa vijana wa kizazi kipya zimepungua sana! Lakini, teknolojia inapaswa kuwa ni kwa ajili ya ustawi wa jamii.

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Akofu Mkuu Jurkovick amehtubia katika mkutano unao husu Mkakati kwa Afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka ambao ulianzishwa mwaka 2016-2030.

Mkakati wa Kimataifa wa afya ya wanawake,watoto na vijana 2016-2030!

26/05/2018 14:37

Askofu Mkuu Ivan Jurkovick mwakilishi wa kudumuwa Vatican katika ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mjini Geneva, tarehe 25 Mei 2018 ametoa hotuba yake katika kikao cha 71 kuhusu mada ya ajenda ya  mkakati wa kimataifa kwa afya ya wanawake, watoto na vijana waliopevuka 2016-2030 

 

 

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic, Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko Mjini Geneva!

Askofu Mkuu Ivan Jurkovic, Mwakilishi wa kudumu wa Vatican katika Ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko Mjini Geneva!

Akofu Mkuu Jurkovic katika Kamati ya maandalizi ya mkutano 2020!

07/05/2018 13:06

Katika mkutano wa Umoja wa Mataifa na mashirika mengine mjini Geneva wa maandalizi mkutano wa kutazama kwa upya mkataba wa kimataifa dhidi ya  silaha za kinyukilia 2020,uliofanyika hivi karibuni, Askofu Mkuu Ivan Jurkovic  Mwakilishi wa kudumu Vatican anapongeza juhudi za chombo hiki!

 

 

Kuna pengo kubwa la maendeleo kati ya maskini na matajiri duniani, lakini kuna dalili za matumaini katika malengo ya maendeleo endelevu 2030.

Kuna pengo kubwa la maendeleo kati ya maskini na matajiri duniani, lakini kuna dalili za matumaini katika utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ifikapo mwaka 2030.

Askofu mkuu Jurkovic: Watu wana haki ya kupata maendeleo endelevu!

24/04/2018 08:46

Kuna pengo kubwa la maendeleo kati ya maskini na matajiri duniani, ingawa kuna dalili za matumaini katika sera na mikakati ya utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu ifikapo mwaka 2030! Jambo la msingi ni kwa Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kwamba, sera hizi zinatekelezwa kikamilifu!

Kila mwaka ifikapo tarehe 22 Aprili, Jumuiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Mama Dunia: Sitisha uchafuzi wa mazingira kwa plastiki

Kila mwaka ifikapo tarehe 22 Aprili, Jumauiya ya Kimataifa inaadhimisha Siku ya Mama Dunia: kwa mwaka huu kauli mbiu ni "Sitisha uchafuzi wa mazingira kwa plastiki".

Siku ya Mama Dunia kwa Mwaka 2018: Sitisha uchafuzi wa mazingira!

21/04/2018 08:30

Waraka wa Kitume wa Baba Mtakatifu Francisko "Laudato si" umesheheni utajiri mkubwa wa imani na mapokeo ya kidini pamoja na ushauri wa kisayansi unaoweza kufanyiwa kazi katika ngazi mbali mbali ili kuimarisha mchakato wa maendeleo endelevu, usawa pamoja na haki msingi za binadamu!

Utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha za sumu ni hatari kwa maisha, ustawi na maendeleo ya binadamu!

Utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha za sumu hi hatari kwa ustawi, maendeleo na maisha ya binadamu!

Ujumbe wa Vatican: Silaha za sumu zina madhara makubwa kwa binadamu!

16/04/2018 11:03

Jumuiya ya Kimataifa haina budi kushirikiana na kushikamana ili kuhakikisha kwamba, inafikia muafaka wa majadiliano ambayo yamedumu kwa takribani miaka mitano kuhusu matumizi na madhara ya silaha za sumu katika maisha ya mwanadamu, ili kuweka sheria kanuni na maadili ya udhibiti wake!