Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe

Utukufu wa Kanisa unafumbatwa katika Fumbo la Msalaba!

Utukufu wa Kanisa unafumbatwa katika Fumbo la Msalaba.

Papa Francisko: Utukufu wa Kanisa unafumbatwa katika Fumbo la Msalaba

29/06/2018 13:29

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Kristo Yesu aliunganisha utukufu wa Kanisa na Fumbo la Msalaba kwa kuwataka wafuasi wake na Kanisa katika ujumla wake kujikita katika huduma makini inayofumbatwa katika huruma na mapendo; kwa kujisadaka bila ya kujibakiza pamoja na kuzamisha huduma kwa watu!

Maaskofu wakuu 29 wapewa Pallio Takatifu, alama ya umoja na Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Maaskofu wakuu 29 wapewa Pallio Takatifu, alama ya umoja na Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Maaskofu wakuu 29 kupewa Pallio Tatakatifu, 29 Juni 2018

28/06/2018 17:35

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Sherehe ya Watakatifu Petro na Paulo, miamba wa imani inayoadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 29 Juni, atawapatia Pallio Takatifu, Maaskofu wakuu walioteuliwa katika kipindi cha Mwaka 2017-2018. Pallio Takatifu ni alama ya umoja na Papa!

 

Padre Deogratias Matika amechaguliwa na Baraza la Askofu Jimbo la Moshi kuwa "Mtawala wa Jimbo".

Padre Deogratias Matika amechaguliwa na Baraza la Askofu Jimbo la Moshi kuwa "Mtawala wa Jimbo" hadi hapo Askofu wa Jimbo atakapoteuliwa na Baba Mtakatifu.

Padre Deogratias Matika ateuliwa kuwa "Mtawala wa Jimbo la Moshi"

16/04/2018 13:33

Askofu mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha katika barua yake ya shukrani na taarifa kwa familia ya Mungu Jimbo Katoliki la Moshi ambalo ameliongoza kwa muda wa miaka kumi anatangaza kwamba, Mh. Padre Deogratia Matika atakuwa "Mtawala wa Jimbo la Moshi" kwa sasa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa.

Yaliyojiri Askofu mkuu Isaac Amani Massawe aliposimikwa Arusha

14/04/2018 16:50

Maadhimisho ya Ibada ya Masifu ya Jioni, Jumapili ya Huruma ya Mungu na hatimaye, Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha yalisheheni utajiri wa busara na hekima zilizotolewa na wahusika mbali mbali katika tukio hili la kihistoria!

Askofu mkuu Josaphat Louis Lebulu kwa miaka 49 amelitumikia Kanisa kama Padre na miaka 39 kama Askofu, Jimbo la Same na Jimbo kuu la Arusha.

Askofu mkuu Josaphat Louis Lebulu amelitumikia Kanisa kama Padre kwa miaka 49 na kama Askofu takribani miaka 49 huko Jimbo Katoliki la Same na hatimaye, Jimbo kuu Katoliki la Arusha, Tanzania.

Shukrani sana Askofu mkuu Lebulu! Shikamaneni na Askofu mkuu Amani

06/04/2018 09:16

Askofu mkuu mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo kuu Katoliki Arusha, Tanzania amelitumikia Kanisa kama padre kwa miaka 49 na katika dhamana ya Askofu kwa takribani miaka 39. Amekuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Same na hatimaye, Jimbo kuu Katoliki la Arusha! Sasa anang'atuka ili akasali zaidi! 

Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi, ameteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania.

Askofu Isaac Amani Massawe wa Jimbo Katoliki Moshi, ameteuliwa kuwa Askofu mkuu wa Jimbo Katoliki Arusha ili kuchukua nafasi ya Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu aliyeng'atuka kutoka madarakani.

Askofu Isaac A. Massawe ateuliwa kuwa Askofu mkuu Jimbo kuu la Arusha

27/12/2017 12:00

Askofu Isaac Amani Massawe aliyezaliwa kunako mwaka 1951, Mango, Moshi; akapadrishwa mwaka 1975 na kuteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Moshi, mwaka 2007 ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Askofu mkuu wa pili Jimbo kuu la Arusha, Tanzania.