Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Ignatius A. Kaigama

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa; misimamo mikali ya kidini na majanga asilia.

RECOWA-CERAO: changamoto kubwa: hali tete ya kisiasa, kiuchumi na kijamii; misimamo mikali ya kidini na kiimani pamoja na athari za majanga asilia.

RECOWA-CERAO na changamoto zake Afrika Magharibi!

19/04/2017 11:12

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Magharibi linasema, linapenda kushirikiana kwa dhati na Jumuiya ya Uchumi Afrika Magharibi,ECOWAS ili kukabiliana na changamoto zinazoendelea kujitokeza katika Nchi wanachama wa RECOWA-CERAO hasa: vitendo ya kigaidi na misimamo mikali ya kidini

Zaidi ya watu 20, 000 wamefariki dunia na wengine millioni 2. 6 wamekuwa ni wakimbizi na wahamiaji kutokana na vitendo vya Boko haram.

Zaidi ya watu 20, 000 wamefariki duani na wengine millioni 2. 6 wamegeuka kuwa wakimbizi na wahamiaji ndani na nje ya Nigeria.

Boko haramu ni changamoto kubwa kwa amani na usalama Nigeria

15/07/2016 14:38

Takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha miaka 7 iliyopita kikundi cha kigaidi cha Boko haramu kimekwisha sababisha vifo vya watu 20, 000 na wengine millioni 2. 6 hawana makazi ya kudumu kiasi kwamba, wamegeuka kuwa ni wakimbizi na wahamiaji ndani na nje ya Nigeria.

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli: kiroho na kimwili!

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli: kiroho na kimwili linasema Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria.

Bila haki, amani na utulivu hakuna maendeleo ya kweli!

21/06/2016 07:59

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linasema, haki, amani, utulivu ni vichocheo vikuu vya ustawi na maendeleo ya wengi, pale ambapo vikolezo hivi vinakosekana, hapo jamii inajikuta ikiogelea katika dimbwi la vita, kinzani na mipasuko ya kijamii kama ilivyo kwa sasa nchini Nigeria. 

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko na maisha mapya!

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko na maisha mapya wanasema Maaskofu Katoliki Nigeria.

Toba na wongofu wa ndani ni chachu ya mabadiliko!

24/02/2016 07:56

Baraza la Maaskofu Katoliki Nigeria linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema nchini humo kufanya toba ya kweli ili kuambata na kukumbatia huruma ya Mungu katika maisha yao, ili kuleta mabadiliko chanya katika maisha na vipaumbele vya watu!