Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Diarmuid Martin

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa "Humanae vitae", 25 Julai 1968: Changamoto Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo.

Jubilei ya Miaka 50 ya Waraka wa Paulo VI "Humanae vitae", mwaliko kwa waamini na watu wote wenye mapenzi mema kusimamakidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya maisha.

Kanisa litaendelea kujizatiti kutetea Injili ya uhai!

29/05/2018 13:30

Mama Kanisa tarehe 25 Julai 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya Jubilei ya Miaka 50 tangu Mwenyeheri Paulo VI alipochapisha Waraka wake wa Kitume "Humane vitae" yaani "Maisha ya mwanadamu" kwa kuonesha dhamana na wajibu wa kurithisha zawadi ya uhai; kwa uhuru na waujibaki mkubwa!

Mfuko wa "Centesimus Annus" unasema changamoto kuu kwa sasa ni: Ukosefu wa ajira, familia na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji.

Mfuko wa "Centesimus Annus" unasema, changamoto mamboleo ni: ukosefu wa fursa za ajira, kuporomoka kwa tunu msingi za maisha ya ndoa na familia pamoja na wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji duniani.

Changamoto mamboleo: Ukosefu wa ajira, Familia na Wakimbizi!

22/05/2018 07:04

Mfuko wa "Centesimus Annus" kwa ajili ya Khalifa wa Mtakatifu Petro unaadhimisha Jubilei ya Miaka 25 tangu ulipoanzishwa na Mtakatifu Yohane Paulo II kunako mwaka 1993. Changamoto mamboleo ni: ukosefu wa fursa za ajira, kuporomoka kwa tunu msingi za familia na wimbi kubwa la wakimbizi!

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kusherehekea Injili ya familia huko Dublin, 2018.

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujiunga nao ili kusherehekea Injili ya familia kwa mwaka 2018.

Yatakayojiri maadhimisho ya Siku ya IX ya Familia Duniani, Dublin!

22/03/2018 09:20

Baraza la Maaskofu Katoliki Ireland linawalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kushiriki kikamilifu katika maandalizi na hatimaye, maadhimisho ya Siku ya IX ya Familia Duniani huko Dublin, nchini Ireland kwa kutafakari: ukuu, utakatifu na changamoto za Injili ya familia!

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wanandoa kutangaza na kushuhudia Injili ya familia: Furaha ya Ulimwengu

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika wanandoa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya Injili ya familia: furaha ya ulimwengu.

Maandalizi ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018 yapamba moto!

19/08/2017 15:20

Maadhimisho ya Siku ya 9 ya Familia Kimataifa kwa mwaka 2018 huko Jimbo kuu la Dublin, nchini Ireland ni wakati muafaka wa kutafakari kuhusu tunu msingi za maisha na utume wa ndoa na familia, ili kujizatiti kuwa tayari kutangaza na kushuhudia Injili ya familia chemchemi ya habari njema kwa watu!