Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Charles Jude Scicluna

Baraza la Maaskofu Katoliki Chile limeandika barua ya kung'atuka kutoka madarakani, linasubiri uamuzi wa Baba Mtakatifu Francisko.

Baraza la Maaskofu Katoliki Chile limeandika baraua ya kung'atuka kutoka madarakani kama uwajibikaji wa pamoja na sasa linasubiri uamuzi wa Baba Mtakatifu Francisko.

Maaskofu Katoliki Chile wameandika barua ya kung'atuka madarakani!

19/05/2018 09:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Chile baada ya kukutana na Baba Mtakatifu Francisko, limepata nafasi ya kusali, kutafakari na kuchunguza dhamiri mintarafu wajibu wake katika nyanyaso za kijinsia na mwishoni mwa mkutano huu, tarehe 18 Mei 2018 limeandika baraua ya kung'atuka kutoka madarakani!

Papa Francisko anawataka Maaskofu wa Chile kujenga Kanisa la kinabii linalojikita katika huduma makini kwa watu wa Mungu.

Papa Francisko anawataka Maaskofu Katoliki nchini Chile kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika huduma makini kwa watu wa Familia ya Mungu.

Papa Francisko: Jengeni Kanisa la Kinabii na Huduma nchini Chile!

18/05/2018 08:54

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kukutana, kusali, kutafakari na kuchunguza dhamiri pamoja na Baraza la Maaskofu Katoliki Chile kuhusu kashfa ya nyanyaso za kijinsia zilizochafua na kuvuruga umoja wa Kanisa, anawataka sasa kujenga Kanisa la kinabii linalosimikwa katika msingi wa huduma!

Kashfa za nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile kushughulikiwa kwa dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa.

Papa Francisko anakutana na Maaskofu wa Chile tarehe 15-17 Mei, 2018

12/05/2018 17:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kashfa ya nyanyaso za kijinsia nchini Chile itashughulikia kwa kuambata dhana ya sinodi katika maisha na utume wa Kanisa, ili kuchunguza dhamiri, kuona sababu, kutoa mapendekezo na hatua muhimu zinazopaswa kuchukuliwa na Kanisa nchini Chile!

 

Papa Francisko asikitishwa sana na taarifa ya nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na viongozi wa Kanisa nchini Chile.

Papa Francisko asikitishwa sana na kashfa ya nyanyaso za kijinsia!

12/04/2018 15:24

Baba Mtakatifu Francisko amepokea taarifa ya uchunguzi wa nyanyaso za kijinsia zilizofanywa na baadhi ya viongozi wa Kanisa nchini Chile na kuonesha masikitiko yake makubwa kutokana na kuzama katika ombwe lililomfanya kushindwa kupembua hali kwa ufasaha na hivyo kusababisha mateso kwa watu