Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu mkuu Cesare Nosiglia, Jimbo kuu la Torino

Papa Francisko analialika Kanisa kujenga utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana katika maisha yao!

Papa Francisko analialika Kanisa kujenga utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana katika safari ya maisha yao hapa duniani.

Jengeni utamaduni wa kuwasikiliza na kuwahusisha vijana katika utume

31/01/2018 15:43

Baba Mtakatifu Francisko anapenda kulihamasisha Kanisa kuwasikiliza, kuwasindikiza na kuwasaidia vijana kufanya maamuzi magumu katika maisha yao, daima wakiwa thabiti katika msingi wa imani, matumaini na mapendo mintarafu mwanga wa Injili! Sinodi ya vijana ni muda muafaka wa utume kwa vijana.

Jimbo kuu la Torino linaendelea kujielekeza kuhusu utume kwa vijana ili waweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake!

Jimbo kuu la Torino linaendelea kujielekeza katika utume kwa vijana ili vijana waweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake!

Jimbo Kuu la Torino na mbinu mkakati wa utume kwa vijana!

29/12/2017 15:43

Baba Mtakatifu Francisko anaihamasisha familia ya Mungu kujenga na kudumisha utamaduni wa kuwasikiliza, kuwajali, kuwaimarisha katika imani na kuwasindikiza katika hija ya maisha yao, ili waweze kufanya maamuzi magumu katika mwanga wa Injili ya Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka kwa wafu!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha Adili na Maisha ya Sala!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha ya adili na Maisha ya sala; ni chombo madhubuti cha kufundishia imani na maadili!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni chombo cha imani na Uinjilishaji mpya

27/12/2017 07:53

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha adili pamoja na Maisha ya sala! Ni chombo mahususi cha kufundishia na kurithisha imani na maadili; chombo madhubuti katika mchakato mzima wa Uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Noeli ni wakati muafaka wa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Mungu na jirani!

Noeli ni wakati muafaka wa kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Mungu na jirani.

Askofu mkuu Nosiglia: Noeli ni sherehe ya upendo na mshikamano!

26/12/2017 15:33

Noeli ni kipindi cha kutoa kipaumbele cha kwanza kwa uwepo wa Mungu katika maisha ya mwanadamu; kwa kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha utu na heshima ya binadamu aliyeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Ni wakati wa kujikita katika ukweli, uwazi na udumifu; kusamehe na kusahau!