Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Mkuu Bruno Forte, Jimbo kuu la Chiet

CEI: wanasiasa msijitafutie umaarufu wa kisiasa na kura kwa kusahau mateso na mahangaiko ya wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta usalama na amani.

CEI: wanasiasa msijitafutie umaarufu wa kisiasa na kura na kusahau mateso na mahangaiko ya wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta hifadhi, usalama na maisha bora zaidi.

CEI: Msijitafutie umaarufu wa kisiasa kwa kuwanyanyasa wahamiaji!

11/01/2018 16:53

Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Italia, linawataka wanasiasa kuwa wakweli, waaminifu, waadilifu na wachamungu na kamwe wasitumie mateso na mahangaiko ya wakimbizi na wahamiaji kujitafutia umaarufu na kura wakati huu wa kampeni za uchaguzi mkuu nchini Italia kwa mwaka 2018.