Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Michael Msonganzila

Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua umuhimu wa Jubilei katika maisha ya waamini.

Askofu Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maana na umuhimu wa maadhimisho ya Jubilei mbali mbali nchini Tanzania.

Askofu Msonganzila afafanua Jubilei ya Miaka 150, 100 na 60 ya Jimbo

14/08/2017 14:53

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jimbo la Musoma na umuhimu wake kwa watu wa Mungu!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki!

11/07/2017 15:32

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara na Miaka 100 ya Upadre Tanzania ni fursa inayotumiwa na Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha na Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma kufafanua umuhimu wa mji wa Bagamoyo kama mlango wa imani!

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkatoliki.

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha zaidi utambulisho wa Padre Mkatoliki anasema Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma katika Barua yake ya kichungaji upendo kwa utume.

Mwaka wa Padre Tanzania: Utambulisho wa Padre Mkatoliki!

07/07/2017 17:28

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania iwe ni fursa ya kukuza na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkalatoliki kwa njia ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko kama walivyofanya watakatifu Marximilliano Maria Kolbe kwa kujisadaka kwa ajili ya huduma ya upendo kwa jirani zao!

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo la Musoma, Tanzania.

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, katika Barua yake ya Kichungaji Upendo kwa Utume, leo anapembua ukuaji wa Kanisa mahali, Jimbo Katoiki Musoma.

Kanisa Mahalia Jimbo la Musoma, Tanzania

06/07/2017 15:39

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania katika Barua yake ya kichungaji Upendo kwa Utume anapembua kuhusu harakati za uinjilishaji Tanzania Bara mintarafu historia, ukuaji wa Kanisa mahalia, Jimbo Katoliki Musoma na mwishoni ni maadhimisho ya Jubilei hizi.

Upendo kwa Utume: Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 ya Jimbo la Musoma.

Upendo kwa Utume: Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 tangu Jimbo Katoliki la Musoma lilipoanzishwa.

Miaka 150 ya Uinjilishaji, Miaka 100 ya Upadre, Miaka 60 Jimbo Musoma

05/07/2017 08:15

Upendo kwa Kanisa ni upendo kwa Kristo na kwamba, asili ya upendo huu ni Mungu mwenyewe! Hivi ndivyo anavyosema Askofu Michael Msonganzila kama sehemu ya maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 ya Jimbo Katoliki la Musoma!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau katika tasnia ya habari na wanasheria kuliwezesha Kanisa kutangaza na kushuhudia uzuri na ukweli

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau wa tasnia ya habari na wanasheria kuliwezesha Kanisa kutangaza na kushuhudia uzuri na ukweli wa Injili.

Liwezesheni Kanisa Tanzania kutangaza na kushuhudia ukweli na maadili

26/01/2017 09:54

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linawataka wadau katika tasnia ya vyombo vya habari vinavyomilikiwa na kuendeshwa na Kanisa pamoja na wanasheria kuliwezesha Kanisa kusimamia, kutangaza na kushuhudia ukweli na uzuri; utu, heshima, mafao ya wengi pamoja na haki msingi za binadamu.

 

Askofu Msonganzila anawataka watanzania kusimama kidete kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma, Tanzania anawataka watanzania kusimama kidete kulinda, kutetea na kudumisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

Iweni wahudumu wa Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!

10/08/2016 15:41

Familia ya Mungu nchini Tanzania inahamasishwa kusimama kidete kulinda, kutangaza na kuhudumia Injili ya Uhai dhidi ya utamaduni wa kifo kwa kuheshimu na kuthamini utu wa binadamu tangu pale anapotungwa mimba tumboni mwa mama yake hadi mauti ya kawaida inapomfika!