Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Maurice M. Makumba

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako tarehe 11 Januari 1968.

Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya

11/01/2018 16:17

Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Nakuru nchini Kenya ina mwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu walipopokea zawadi ya imani ambayo wameilinda, wameishuhudia na kurithisha kwa vijana wa kizazi kipya! Hatua muhimu katika maisha yao!

Bila elimu ya dini taifa litajichumia majanga

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linasema, bila elimu ya dini shuleni, taifa litajichumia majanga.

Elimu ya dini isipofundishwa shuleni, taifa litachuma majanga

28/03/2015 09:04

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya linabainisha kwamba, bila elimu ya dini shuleni, taifa linaweza kujichumia majanga kwa siku za baadaye.