Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Liberatus Sangu

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Kongamano la Tatu la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Tanzania, Jimbo kuu la Mwanza.

Kongamano la Tatu la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Tanzania, Jimbo kuu la Mwanza.

Yaliyojiri maadhimisho ya Kongamano la Ekaristi Takatifu Kitaifa, Mwanza!

11/07/2016 09:11

Maadhimisho ya Kongamano la Tatu la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Tanzania ilikuwa ni nafasi kwa familia ya Mungu nchini Tanzania kutafakari kuhusu Ekaristi na Uumbaji, Utukufu, Majadiliano na Utume wa Kanisa katika maisha ya familia ya Mungu nchini Tanzania. Sasa ni wakati wa utekelezaji!

Ujumbe wa Noeli kutoka kwa viongozi wa Makanisa nchini Tanzania

Ujumbe wa Noeli kutoka kwa viongozi wa Makanisa ya Kikristo nchini Tanzania.

Ujumbe wa Noeli kutoka kwa viongozi wa Makanisa nchini Tanzania

26/12/2015 10:21

Maadhimisho ya Siku kuu ya Noeli kwa Mwaka 2015 nchini Tanzania imekuwa ni fursa kwa viongozi wa Makanisa kuwahamasisha waamini kusimama kidete kujenga, kulinda na kudumisha misingi ya haki, amani na umoja wa kitaifa kwa kujisadaka bila ya kujibakiza katika mchakato wa mabadiliko ya kweli.

 

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Maaskofu Katoliki Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akiwa na Maaskofu Katoliki Tanzania, Jimboni Shinyanga baada ya Askofu Sangu kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Shinyanga.

Shikamaneni na Askofu Sangu ili kukoleza maendeleo ya Familia ya Mungu

13/04/2015 09:15

Kardinali Polycarp Pengo, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Dar es Salaam akishirikiana na Maaskofu wakuu wengine wawili wamemweka wakfu na hatimaye kumsimika Askofu Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki la Shinyanga. Ibada hii imehudhuriwa na umati mkubwa wa familia ya Mungu ndani na nje ya Tanzania.

 

Askofu mteule Liberatus Sangu Jimbo Katoliki Shinyanga

Askofu mteule Liberatus Sangu kuwekwa wakfu Jumapili ya huruma ya Mungu, 12 Aprili 2015.

Jimbo Katoliki Shinyanga, mmepata Jembe la nguvu, shikamaneni naye!

10/04/2015 12:34

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu mwambata ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimissionari ya Kipapa anaiomba Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Shinyanga kumwonesha ushirikiano na mshikamano Askofu mteule Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga katika maisha na utume wake.

Askofu mteule Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga

Askofu mteule Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga kuwekwa wakfu hapo tarehe 12 Aprili 2015.

Jimbo Katoliki Shinyanga, vumbi limeanza kutimuka! Tunakuja kuwashika!

09/04/2015 14:54

Askofu mteule Liberatus Sangu wa Jimbo Katoliki Shinyanga anatarajiwa kuwekwa wakfu na hatimaye kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Shinyanga. Katika mahojiano na Radio Vatican anabainisha huruma na upendo wa Mungu katika maisha yake.