Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya lapata "vigogo wapya"
16/04/2018 11:42
Askofu Philip Arnold Subira Anyolo amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya, Askofu Obala Owaa kuwa Makamu wa Rais, Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde ataendelea kuwa ni Mwenyekiti wa Shirika la Misaada ya Kanisa Katoliki nchini Kenya.
Mitandao ya kijamii: