Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga

Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga amechaguliwa kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Askofu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania; Askofu Flavian Matindi Kassala, Makamu wa Rais na Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania lapata sululu mpya za uongozi

25/06/2018 14:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemchangua Askofu Gervas John Mwasikhabhila Nyaisonga kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Flavian Matindi Kassala, Makamu wa Rais na Padre Charles Kitima, Katibu mkuu wa Baraza! Hapa kazi imeanza kweli kweli!