Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Evarist Marcus Chengula

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.

B.Maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii, unyenyekevu na utayari kwa ajili ya huduma kwa watu wa Mungu.

B. maria ni mfano bora wa: imani, matumaini, mapendo, utii pamoja na utayari kwa ajili ya huduma makini kwa watu wa Mungu.

Askofu Marcus Chengula: Palilieni miito mitakatifu ndani ya Kanisa!

18/12/2017 09:37

Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa alipata upendeleo wa pekee kutoka kwa Mwenyezi Mungu kiasi hata cha kukingiwa dhambi ya asili, ili aweze kuwa ni Tabernakulo ya kwanza ya Neno wa Mungu; mfano bora wa kuigwa na watawa katika maisha na utume wao kwa familia ya Mungu ulimweguni!

Watawa wanapaswa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huduma na furaha!

Watawa wanapaswa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya huduma na furaha kwa watu wa Mungu!

Watawa wanapaswa kuwa ni vyombo vya Injili ya upendo na furaha!

01/06/2017 14:19

Mama Kanisa anawapongeza watawa ambao wameendelea kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya upendo na furaha kwa watu wa Mungu wanaowahudumia usiku na mchana, changamoto ni kuhakikisha kwamba, wanaendelea kujitakatifuza ili kamwe wasimezwe na malimwengu!

Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya anawahamasisha vijana kuchangamkia maisha na wito wa kipadre na kitawa!

Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya anawahamasisha vijana kuchangamkia wito wa kipadre na maisha ya kitawa kwani yanalipa haswaaa!

Vijana changamkieni wito wa kipadre na maisha ya kitawa! Inalipa!

08/02/2017 15:18

Askofu Evaristi Marcus Chengula wa Jimbo Katoliki Mbeya hivi karibuni ameadhimisha kumbu kumbu ya miaka 20 tangu alipowekwa wakfu kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Mbeya. Ametumia fursa hii kuwaalika vijana kuchangamkia maisha ya kipadre na kitawa ili waweze kujisadaka kwa ajili ya Mungu na jirani!

Caritas Mbeya, Tanzania kuendelea kuwekeza katika rasilimali watu ili kupambana na umaskini wa hali na kipato!

Caritas Mbeya, Tanzania kuendelea kuwekeza katika rasilimali watu ili kupambana na umaskini wa hali na kipato!

Caritas Mbeya inapania kuwajengea wananchi uwezo wa kupambana na umaskini!

03/05/2016 10:14

Mchakato wa Uinjilishaji wa kina pamoja na mambo mengine, unapania kumkomboa mwanadamu kiroho na kimwili, kwa kumwezesha kupambana na hali pamoja na mazingira yake, ili dunia hii iweze kuwa ni mahali pazuri zaidi pa kuishi! Hii ndiyo dhama inayotekelezwa na Caritas Mbeya!

 

Siku kuu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili

Siku kuu ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambi ya Asili.

Watawa iweni vyombo na mashuhuda wa huruma ya Mungu!

10/12/2015 09:21

Uzinduzi wa Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya huruma ya Mungu, kumbu kumbu ya hitimisho la Jubilei ya miaka 50 tangu Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican ulipohitimishwa, imekuwa ni fursa kwa watawa wa Mashirika mbali mbli nchini Tanzania kuweka nadhiri za muda na zile za daima!