Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Beatus Christian Urassa, ALCP/OSS

Askofu Beatus Christian Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Askofu Beatus Urassa amewekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga.

Yaliyojiri S'wanga wakati wa kuwekwa wakfu na kusimikwa Askofu Urassa

25/06/2018 14:30

Askofu anayo dhamana na wajibu wa kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu aliokabidhiwa kwake na Kanisa kwa kutambua kwamba, huu ni mwendelezo wa historia ya huruma na upendo wa Mungu unaopata chimbuko lake katika Daraja Takatifu ya Upadre! Wosia kwa Askofu Urassa!

Askofu mteule Beatus Christian Urassa anawekwa wakfu tarehe 24 Juni 2018 kuwa Askofu wa Jimbo la Sumbawanga, Tanzania

Askofu mteule Beatus Christian Urassa, tarehe 24 Juni 2018 anawekwa wakfu kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, Tanzania.

Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Sumbawanga inasema, kumekucha!

22/06/2018 17:25

Askofu Damiani Kyaruzi wa Jimbo Katoliki Sumbawanga anasema, mambo yote tayari yamekamilika ili familia ya Mungu Jimbo Katoliki Sumbawanga, iweze kumkaribisha na kumwonesha umoja, upendo na ukarimu, Askofu mteule Beatus Christian Urassa anayesimikwa rasmi, Jumapili, tarehe 24 Juni 2018.

Mh. Padre Beatus Christian Urassa ameteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga, Tanzania.

Mh. Padre Beatus Christin Urassa ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Sumbawanga, Tanzania.

Mh. Padre Beatus Urassa ateuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Sumbawanga

19/04/2018 12:00

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Mheshimiwa Padre Beatus Christina Urassa wa Shirika la Kazi ya Roho Mtakatifu (ALCP/OSS) kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga nchini Tanzania. Alizaliwa kunako mwaka 1965, akapewa Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 12 Julai 1997.