Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Askofu Abel Gabuza

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linamwomba Rais Zuma kung'atuka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma.

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini lina mshauri rais Jacob Zuma kufanya maamuzi magumu ya kung'atuka kutoka madarakani kwa ajili ya mafao ya umma kwani kwa sasa hali ni tete sana nchini Afrika ya Kusini.

Rushwa na ufisadi vinawapekenya sana wananchi wa Afrika ya Kusini

10/02/2018 17:26

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linasema kwamba, hali kwa sasa ni tete sana Afrika ya Kusini kutokana na kashfa pamoja na tuhuma mbali mbali hasa kuhusiana na rushwa na ufisadi wa mali ya umma zinazomwandama Rais Jacob Zuma, kiasi cha wananchi wengi kukosa imani naye!

Askofu A.Gabuza Rais wa Tume ya Haki na Amani Afrika ya Kusini anasema ukosefu wa ajira kwa vijana ni hatari

vijana wengi wasio kuwa na ajira wako hatarini: waathirika wa madawa ya kulevya, biashara ya binadamu, kujiingiza katika vitendo vya kialifu, vilevile kudanganywa na baadhi ya wanasiasa wasio kuwa na huruma

A.Kusini: Inahitajika mabadiliko ya uchumi kwa ajili ya vijana

09/05/2017 13:48

 Askofu A.Gabuza wa Afrika ya Kusini anasema; ni mabadiliko makubwa ya kiuchumi yanayoweza kutatua janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, lakini  kwa bahati mbaya,utamaduni wa sasa wa uongozi umetanda mizizi  katika ufisadi na hauna uwezo kimaadili katika ukufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi 

 

Afrika ya Kusini msithubutu kuchezea amani, mtakiona cha mtema kuni!

Afrika ya Kusini msithubutu kuchezea amani mtakiona cha mtema kuni!

Msithubutu kuchezea amani!

01/07/2016 16:12

Baraza la Maaskofu Katoliki Afrika ya Kusini linawataka wananchi pamoja na viongozi wa kisiasa kuhakikisha kwamba, wanadumisha misingi ya haki, amani, umoja na mafao ya wengi na kamwe wasithubutu kuchezea amani kwani ikitoweka gharama yake ni kubwa kuweza kuirejesha tena!

Hali ya ulinzi na usalama Afrika ya Kusini ni tete kutokana na mtikisiko wa uchumi kitaifa!

Hali ya ulinzi na usalama nchini Afrika ya Kusini ni tete kutokana na athari za mtikisiko wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa wakati huu!

Hali ya kisiasa nchini Afrika ya Kusini ni tete sana!

27/04/2016 07:44

Matumizi makubwa ya nguvu yanayofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama nchini Afrika ya Kusini, dhidi ya vyama vya upinzani, rushwa na ufisadi wa mali ya umma; pamoja na hali mbaya ya uchumi nchini humo ni mambo yanayotishia amani, usalama na mafungamano ya kijamii!