Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Antiokia

Tarehe 13 Februari Misa ya  asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Tarehe 13 Februari Misa ya asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Misa ya Papa Francisko Katika kanisa la Mt Marta na Patriaki wa Antiokia!

13/02/2018 16:19

Asubuhi ya tarehe 13 Februari 2018,kama kawaida ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican,lakini hakuhubiri,bali ametoa maelezo kuhusu uwepo wa Patriaki wa Kanisa la Antiokia wa Kigiriki-Melkiti Youssef Absi na Ujumbe wake wote katika misa

 

 

Papa Francisko akisali na Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II

Baba Mtakatifu Francisko akisali pamoja na Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II mjini Vatican.

Damu ya mashuhuda wa imani iwe ni mbegu ya umoja na chombo cha haki na amani

19/06/2015 16:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema kwamba, damu ya mashuhuda wa imani iwe ni mbegu ya umoja wa Kanisa na chombo makini cha ujenzi wa Ufalme wa Mungu unaojikita katika misingi ya haki na amani. Ni wakati wa kuimarisha urafiki, umoja na udugu ili kuweza kuadhimisha Mafumbo ya Kanisa kwa pamoja.

 

Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II

Patriaki Moran Mor Ignatius Aphrem II anatarajiwa kukutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko na baadaye kusali kwa pamoja mjini Vatican.

Patriaki Moran Mor Ignatius Ephrem II kukutana na kusali na Papa Francisko

16/06/2015 16:09

Kanisa la Kiorthodox la Siro la Antiokia na Mashariki yote lina makao yake makuu mjini Antiokia, mji ambao una utajiri mkubwa wa historia na maisha ya Mitume Petro na Paulo miamba wa imani. Hapa ni mahali ambapo wamissionari wa kwanza walithubutu kutoka kwenda kuhubiri Injili ya Kristo.