Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amri Mpya

Wakristo wanayo dhamana na utume wa kumwilisha Ari ya upendo kwa adui kwa njia ya sala, msamaha na upendo.

Wakristo wanayo dhamana na utume wa kumwilisha Amri mpya ya upendo kwa kuwapenda adui zao, kuwaombea na hatimaye kuwasamehe.

Papa Francisko asema: Msamaha, Sala na Upendo ni silaha dhidi ya adui

19/06/2018 14:17

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Amri mpya iliyotangazwa na kushuhudiwa na Kristo Yesu ni Upendo kwa adui; mageuzi makubwa katika mtazamo wa maisha ya kikristo yanayofumbatwa katika msamaha wa kweli, sala na upendo wa dhati kama nyenzo msingi za kupambana na adui! Yesu ni mfano!

Katika katekesi ya papa Francisko Jumatano 13 Juni 2018 ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu

Katika katekesi ya papa Francisko Jumatano 13 Juni 2018 ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu

Katika Katekesi Papa Francisko ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu !

13/06/2018 16:08

Leo hii tunaanza safari mpya ya Katekesi. Itakuwa inahusu mada ya amri za Mungu. Katika utangulizi tutumie neno la Mungu lilisomwa: mkutano kati ya Yesu una mtu aliyepiga magoti akiomba kujua nammana ya  kuurithi ufalme wa Mungu.Ni maneno ya Papa katika katekesi yake tarehe 13 Jini 2018

 

 

Leo Mama Kanisa anapenda kuwarejesha tena watoto wake kwenye shule ya upendo mkamilifu!

Leo Mama Kanisa anapenda kuwarejesha watoto wake kwenye shule ya upendo mkamilifu unaopata chimbuko lake kwa Mungu Baba ambaye ni upendo wenyewe!

Leo Mama Kanisa anawarudisha watoto wake kwenye shule ya upendo!

05/05/2018 07:30

Katika historia, Mwenyezi Mungu amejifunua kwa watu wake kwa sababu ya upendo wake mkuu usiokuwa na kifani; akawachagua kati ya mataifa kwa sababu ya upendo huo huo, akawakoa kutokana na ukaidi wao kwa sababu ya upendo! Kwa hakika, Mungu ni upendo na upendo wake ni wa milele!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa ni walinzi wa Injili ya uhai na mazingira!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa walinzi wa Injili ya uhai na mazingira.

Papa Francisko awataka watu wenye mapenzi mema kuwa walinzi wa maisha

02/10/2017 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana kuwa mstari wa mbele katika kulinda zawadi ya maisha na uumbaji dhidi ya utamaduni wa kifo; anawataka wawe ni mashuhuda wa upendo unaozaa mafao, ustawi na maendeleo ya wengi! Uharibifu wa ekolojia iwe ni changamoto ya matumaini mapya kwa binadamu!