Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amri Kuu ya Upendo kwa Mungu na Jirani!

Askofu Galantino anasema kuwa jirani ni mtu ninaye kutana naye, ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku

Askofu Galantino anasema kuwa jirani ni mtu ninaye kutana naye, ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku,

Askofu Nunzio Galantino:Jirani ni mtu ninaye kutana naye na kuwa na ukaribu!

09/03/2018 15:24

Jirani ni mtu ninayekutana naye,ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku.Jambo muhimu si kutaka kutambua yeye ni nani,bali kuwa na mtazamao wa macho ya ukaribu.Huo ni uthibitisho katika mahubiri ya Askofu Mkuu Nunzio Galantino Katibu wa CEI

 

 

Papa Francisko anawataka Maparoko kuwafundisha waamini wao jinsi ya kumwabudu vyema Mwenyezi Mungu hasa zaidi katika ukimya!

Papa Francisko anawaalika Maparoko kuhakikisha kwamba, wanawafunda vyema waamini wao jinsi ya kumwabudu Mwenyezi Mungu katika hali ya ukimya na sala.

Papa Francisko: Maparoko wafunzeni waamini wenu kuabudu vyema!

05/02/2018 15:28

Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kufanya hija ya kwenda Mlimani kwa Bwana, kwa kutambua na kuthamini kumbu kumbu ya Agano ambalo Mwenyezi Mungu amefunga pamoja nao kwa kuwakirimia Amri na Maagizo yake, ambayo yamefupishwa kwa Amri ya Upendo kwa Mungu na Jirani!

 

Askofu mkuu Anthony Muheria wa Jimbo Kuu la Nyeri, Kenya anawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kudumisha upendo, umoja na amani!

Askofu mkuu Athony Muheria wa Jimbo Kuu la Nyeri, Kenya anawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga na kudumisha umoja, upendo, mshikamano na amani kama njia muafaka ya kuadhimisha Noeli ya Bwana!

Ujumbe wa Noeli kwa Mwaka 2017 kutoka kwa Askofu mkuu Muheria, Kenya

23/12/2017 08:49

Katika Sherehe ya Noeli, Mama Kanisa anaadhimisha kwa shangwe kubwa Fumbo la Umwilisho, Neno wa Mungu, Nafsi ya Pili ya Fumbo la Utatu Mtkatifu alipofanyika mwili kwa njia ya Roho Mtakatifu kwake Bikira Maria. Huu ni muungano wa ajabu wa asili ya Kimungu na asili ya kibinadamu ndani ya Kristo Yesu

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani, maana Mungu anajidhihirisha  tunapopendana sisi kwa sisi

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani, maana Mungu anajidhihirisha tunapopendana sisi kwa sisi

Upendo kwa Mungu unajifunua katika upendo kwa jirani!

30/11/2017 15:10

Mwanadamu anajifunua na kujitambua asili yake sawasawa katikati ya jamii ya mwanadamu.Dini ni mahusiano yetu wanadamu na Mungu wetu aliye mkuu sana.Mahusiano yanapata mashiko katika muunganiko wetu sisi pamoja na viumbe vyote.Upendo wetu kwa Mungu unajieleza kwa upendona jirani

 

Papa Francisko anawataka vijana kuwa ni walinzi wa Injili ya uhai na mazingira!

Papa Francisko anawataka vijana kuwa walinzi wa Injili ya uhai na mazingira.

Papa Francisko awataka watu wenye mapenzi mema kuwa walinzi wa maisha

02/10/2017 14:31

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana kuwa mstari wa mbele katika kulinda zawadi ya maisha na uumbaji dhidi ya utamaduni wa kifo; anawataka wawe ni mashuhuda wa upendo unaozaa mafao, ustawi na maendeleo ya wengi! Uharibifu wa ekolojia iwe ni changamoto ya matumaini mapya kwa binadamu!

Papa Francisko anasema, matumaini ya Kikristo ni nguvu ya mashuhuda wa imani!

Papa Francisko anasema, matumaini ya Kikristo ni nguvu ya mashuhuda wa imani.

Papa Francisko: Matumaini ya Kikristo ni nguvu ya mashuhuda wa imani!

28/06/2017 15:25

Baba Mtakatifu Francisko anasema, utangazaji, ushuhuda na ujenzi wa Ufalme wa Mungu hapa duniani una changamoto na magumu yake kutokana na kukithiri kwa dhambi hali inayoshuhudiwa na ukosefu wa haki msingi za binadamu, ubinafsi wa hali ya juu na watu kupenda mno malimwengu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani, matumaini na mapendo ya Mungu kwa mwanadamu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani, matumaini na mapendo ya Mungu kwa binadamu!

Sherehe ya Ekaristi Takatifu: Mwili na Damu Azizi ya Kristo Yesu!

19/06/2017 11:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kila Mwaka Mama Kanisa anayofuraha kubwa ya kusherehekea na kushuhudia Fumbo la Ekaristi Takatifu, chanzo na kilele cha maisha na utume wa Kanisa. Ekaristi Takatifu ni kiini cha imani ya Kanisa kwa kumwabudu Yesu anayejisadaka kuwa chakula na kinywaji!

Roho Mtakatifu anawawezesha waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa matumaini na ujasiri!

Roho Mtakatifu anawawezesha waamini kuwa ni vyombo na mashuhuda wa ujasiri na matumaini.

Roho Mtakatifu awatie nguvu na ujasiri wa kuwa mashuhuda amini!

01/06/2017 09:30

Roho Mtakatifu ni mhimili mkuu katika mchakato mzima wa uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko! Roho Mtakatifu anayo dhamana ya kuwafundisha, kuwakumbusha na kuwaelekeza waamini kwenye ukweli wote, ili hatimaye, waweze kuwa kweli ni mashuhuda wake.