Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amani ni habari ya kweli

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Wakatoliki nchini Cameroon wanataka amani ya kweli dhidi ya mivutano

06/06/2018 14:24

Mivutano ni kama vile visu vina katakatana hata kama mijini hakuna mapigano, lakini wafanyabiashara wa maduka na  wale wadogo wadogo wanaogopa kuharibiwa shughuli zao na kuwaletea hasara. Ndiyo hali halisi ilivyo katika nchi ya Cameroon kufuatia mivutano ya kanda za lugha ya kingereza

 

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema, neema, msamaha, mapatano na matumaini

Mahubiri ya Kard. Filoni kwa wajumbe wa Baraza la Kipapa la Kimisionari

04/06/2018 14:29

Neno la Mungu lililosomwa katika Liturujia ya Mtakatifu Justine shahidi,linatualika kutafakari juu ya uhusiano kati ya imani kwa Mungu,sala na utume katika maisha yetu.Hija ya kuelekea Mwezi Maalum wa Kimisionari 2019, tunahitaji kurudisha uwazi na lazima kuongeza zaidi imani katika  Bwana. 

 

Maaskofu wa Zambia wako tayari kutoa machango wa mazungumzo ya kitaifa kati ya rais Lungu na mpinzani wake kwa ajili ya amani kuleta amani kati yao

Maaskofu wa Zambia wako tayari kutoa machango wa mazungumzo ya kitaifa kati ya rais Lungu na mpinzani wake kwa ajili ya amani kuleta amani kamili ya nchi

Zambia:Maaskofu wako tayari kutoa mchakato wa mazungumzo kitaifa!

31/05/2018 08:59

Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini Zambia (ZCCB, Padre Cleophas Lungu amethibitisha juu ya  uwezekano wa Maaskofu kushirikiana katika mazungumzo ya kitaifa yaliyoanzishwa na Jumuiya za Madola ili kuweza kuondoa mivutano ya kisiasa mara baada ya uchaguzi wa kisiasa mwaka 2016.

 

Papa Francisko anawataka waandishi wa habari kuachana na habari za kughushi kwa kujikita na uandishi wa habari wa amani.

Papa Francisko anawataka waandishi wa habari kuachana na habari za kughushi na kuanza kujikita na uandishi wa habari wa amani ili kudumisha ukweli, haki na maridhiano kati ya watu!

Papa Francisko: Habari za kughushi na uandishi wa habari wa amani!

09/05/2018 08:57

Ukweli utawaweka huru: habari za kughushi na uandishi wa habari wa amani ndiyo kauli mbiu inayoongoza ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko katika Siku ya 52 ya Upashanaji Habari Ulimwenguni, ambayo kwa mwaka huu, inafanyika sanjari na Siku kuu ya Kupaa Bwana Mbinguni!