Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amani na Usalama

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Wakatoliki nchini Cameroon wanataka amani ya kweli dhidi ya mivutano

06/06/2018 14:24

Mivutano ni kama vile visu vina katakatana hata kama mijini hakuna mapigano, lakini wafanyabiashara wa maduka na  wale wadogo wadogo wanaogopa kuharibiwa shughuli zao na kuwaletea hasara. Ndiyo hali halisi ilivyo katika nchi ya Cameroon kufuatia mivutano ya kanda za lugha ya kingereza

 

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Maaskofu wa Cameroon wametoa wito ili kusitisha vurugu na ghasia nchini!

23/05/2018 13:25

Sitisheni kila aina za vurugu na hacheni kutuua:sisi ni ndugu wote na dada,tuanze safari ya mazungumzo na mapatano,haki na amani:Ndiyo wito wa nguvu uliotolewa hivi karibuni na Baraza la Maaskofu nchini Cameroon, kufuatia  hali mbaya inayo kumba kipeo cha siasa kijamii kwa miezi kadhaa sasa!

 

Mtakatifu Yohane Paulo II wakati wa kusali kwake.Aliaga dunia tarehe 2 Aprili 2005 kwa maana hiyo imepita miaka 13 tangu kifo chake

Mtakatifu Yohane Paulo II wakati wa kusali kwake.Aliaga dunia tarehe 2 Aprili 2005 kwa maana hiyo imepita miaka 13 tangu kifo chake

Mt. Yohane Paulo II, bado ni mfano wa kuigwa kwa watu wengi!

03/04/2018 16:48

Mtakatifu Yohane Paulo II hakosi kuigwa mfano wake, kuongoza na kutupatia ujasiri na kutiwa moyo.Ni maneno ya mahubiri ya  Kardinali Stanisław Dziwisz,tarehe 2 Aprili 2018  Kanisa Kuu la Mt.Yohane Paulo II mjini Krakow, wakati wa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 13 tangu kifo chake 2005

 

Bado kuna umuhimu wa kuendelea kusali kwa ajili ya amani ya Pakistan na India

Bado kuna umuhimu wa kuendelea kusali kwa ajili ya amani ya Pakistan na India

Pakistan:wakristo wameungana mpakani India kusali kwa ajili ya amani!

01/02/2018 09:10

Tumesali na tumeshikana mikono kwa pamoja,tumewasha mishumaa ikiwa ishara ya kuomba Mungu msaada na hata kwa shughuli binafsi.Ni maombi kwa Mungu katika ukimya,nyimbo za pamoja kuomba amani,heshima ya pamoja,kuhamasisha umoja na maendeleo kati ya nchi ya Pakistan na India.

 

Ask.Mkuu Gallagher amewambia Mkutano wa OSHE kuwa lazima watoe usalama na utulivu wa maeneo yao Ulaya.

Ask.Mkuu Gallagher amewambia Mkutano wa OSHE kuwa lazima watoe usalama na utulivu wa maeneo yao Ulaya.

Ask.Mkuu Gallagher:OSHE lazima kutoa usalama na utulivu katika eneo lake!

12/12/2017 16:16

Askofu Mkuu Paul Gallagher amesema kuwa,kama Baba Mtakatifu Francisko anavyosema,ushindi wa amani unahitaji kitu zaidi kuliko kuondolewa kwa silaha na li kushinda uzuri wa amani tunapaswa kwanza kuelimika,kuondokana na utamaduni wa migogoro ambao unalenga kuogopa wengine 

 

 

 

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia katika mkutano na wanachama wa mshikamano wa sala kwa ajili amani duniani

Papa anasema Mfalme Carlo ni mfano wa kuigwa kama Baba wa Familia

14/10/2017 15:41

Baba Mtakatifu amekutana na kuzungumza na Chama cha Mwenyeheri Mfalme Carlo kwa ajili ya amani duniani kutoka Luxembourg. Sala hiyo inajikita katika muktadha wa miaka100 ya kuwanzishwa kwake chini ya usimamizi wa Papa Benedikto XV  iliyoanzishwa wakati Vita ya Kwanza ya Dunia.

 

Ili amani ya kweli iweze kupatikana nchini Siria, haki msingi, utu na heshima ya binadamu vinapaswa kusingatiwa.

Ili amani ya kweli iweze kupatikana nchini Siria kuna haja ya kudumisha haki msingi za binadamu, uhuru wa kuabudu, utawala wa sheria, utu na heshima ya binadamu.

Zingatieni haki msingi, utu na heshima ya binadamu ili kupata amani

23/09/2017 16:43

Askofu mkuu Paul R. Gallagher anasema ili amani ya kweli iweze kupatikana nchini Siria kuna haja ya kujikita katika kudumisha haki msingi za binadamu, uhuru wa kuabudu, utu na heshima ya binadamu na kwamba, mambo yote haya yanapaswa kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya majadiliano katika ukweli.

Kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kuondokana na malumbano yasiyokuwa na tija kuhusu utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha za kinyuklia!

Kuna haja kwa Jumuiya ya Kimataifa kuondokana na malumbano yasiyokuwa na tija kuhusu: utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha za kinyuklia kwani madhara yake ni makubwa duniani.

Simamieni rufuku ya utengenezaji, ulimbikizaji na matumizi ya silaha!

30/08/2017 16:13

Askofu mkuu Bernadito Auza anasema, Jumuiya ya Kimataifa haina budi kujadili katika ukweli na uwazi, ili hatimaye, kuunda chombo cha kisheria kitakachoweza kudhibiti utekelezaji wa rufuku ya kutengeneza, kulimbikiza na kutumia silaha za kinyuklia duniani, ambazo ni hatari sana kwa binadamu!