Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amani na msamaha

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Maskofu wa Korea watoa sala kwa ajili ya nchi yao katika kipindi cha kihistoria,

Kanisa la Korea kusali Novena kwa nchi yao katika kipindi katika kihistoria!

12/06/2018 16:47

Baraza la Maaskofu nchini Korea wameandaa Novena kwa ajili ya nchi zote mbili, kuombea amani na mkutano wa mapatano, Ni kufuatia  fursa ya wakati huu ambayo nchi hizi mbili wanakabiliana katika kufungua ukurasa mpya wa kihistoria zaidi mkutano wa Trump na Kim, 12 Juni 2018 huko Singapore!

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Kumekuwapo na mandamano mengi huko Bamenda nchini Cameroon kwa ajili ya kudai uhuru hasa kanda zinazo zungumza kingereza

Wakatoliki nchini Cameroon wanataka amani ya kweli dhidi ya mivutano

06/06/2018 14:24

Mivutano ni kama vile visu vina katakatana hata kama mijini hakuna mapigano, lakini wafanyabiashara wa maduka na  wale wadogo wadogo wanaogopa kuharibiwa shughuli zao na kuwaletea hasara. Ndiyo hali halisi ilivyo katika nchi ya Cameroon kufuatia mivutano ya kanda za lugha ya kingereza

Kujitoa kikamilifu ndiyo jina la Waraka mpya wa Baraza la kipapa Walei Familia na maisha kuhusu mchezo katika mtazamo wa kikristo!

Kujitoa kikamilifu ndiyo jina la Waraka mpya wa Baraza la kipapa Walei Familia na maisha kuhusu mchezo katika mtazamo wa kikristo!

Kujitoa kikamilifu ni Waraka mpya wa Baraza la Kipapa Walei familia na maisha

04/06/2018 15:04

Kanisa ni nyumba ya mchezo,kiwanja cha maisha na imani. Kujitoa kikamilifu ndiyo Mada ya Waraka uliowakilishwa kwa vyombo va habari na Baraza la Kipapa,Walei,Familia na Maisha.Ni mzito wa mafundisho ya Mapapa na Kanisa juu ya Mchezo kwa mantiki ya mtazamo wa maisha ya kikristo. 

Maaskofu wa Zambia wako tayari kutoa machango wa mazungumzo ya kitaifa kati ya rais Lungu na mpinzani wake kwa ajili ya amani kuleta amani kati yao

Maaskofu wa Zambia wako tayari kutoa machango wa mazungumzo ya kitaifa kati ya rais Lungu na mpinzani wake kwa ajili ya amani kuleta amani kamili ya nchi

Zambia:Maaskofu wako tayari kutoa mchakato wa mazungumzo kitaifa!

31/05/2018 08:59

Katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu nchini Zambia (ZCCB, Padre Cleophas Lungu amethibitisha juu ya  uwezekano wa Maaskofu kushirikiana katika mazungumzo ya kitaifa yaliyoanzishwa na Jumuiya za Madola ili kuweza kuondoa mivutano ya kisiasa mara baada ya uchaguzi wa kisiasa mwaka 2016.

22 Mei nchini Nigeria wamefanya maandamani ya amani na mshikamano na Wakristo

22 Mei nchini Nigeria wamefanya maandamani ya amani na mshikamano na Wakristo

Nchini Nigeria wamefanya maandamano ya mshikamano na wakristo!

23/05/2018 13:42

Katika  nchini Nigeria hali halisi ya nchi siyo nzuri  kabisa kutokana na matukio mabaya dhidhi ya binadamu.Kutokana na matukio hayo Baraza la Maaskofu wa nchi hiyo tarehe 22 Mei 2018 wamehitisha na kufanya  maandamano ya amani  na mshikamano ili  kupinga  kila aina za vurugu dhidi ya wakristo

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Nchini Cameroon kumekuwapo na mandamano ya kile cha kudai haki dhidi ya ubaguzi wa kati yao wa lugha mbili ya kingereza na kifaransa

Maaskofu wa Cameroon wametoa wito ili kusitisha vurugu na ghasia nchini!

23/05/2018 13:25

Sitisheni kila aina za vurugu na hacheni kutuua:sisi ni ndugu wote na dada,tuanze safari ya mazungumzo na mapatano,haki na amani:Ndiyo wito wa nguvu uliotolewa hivi karibuni na Baraza la Maaskofu nchini Cameroon, kufuatia  hali mbaya inayo kumba kipeo cha siasa kijamii kwa miezi kadhaa sasa!

Mtakatifu Yohane Paulo II wakati wa kusali kwake.Aliaga dunia tarehe 2 Aprili 2005 kwa maana hiyo imepita miaka 13 tangu kifo chake

Mtakatifu Yohane Paulo II wakati wa kusali kwake.Aliaga dunia tarehe 2 Aprili 2005 kwa maana hiyo imepita miaka 13 tangu kifo chake

Mt. Yohane Paulo II, bado ni mfano wa kuigwa kwa watu wengi!

03/04/2018 16:48

Mtakatifu Yohane Paulo II hakosi kuigwa mfano wake, kuongoza na kutupatia ujasiri na kutiwa moyo.Ni maneno ya mahubiri ya  Kardinali Stanisław Dziwisz,tarehe 2 Aprili 2018  Kanisa Kuu la Mt.Yohane Paulo II mjini Krakow, wakati wa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 13 tangu kifo chake 2005

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Mungu ni kama baba anaye msubiri mtoto wake ili aweze kuzungumza naye hata kama ametenda kosa!

Papa:Bwana hachoki kuita kila mmoja abadili maisha na kuongoka!

27/02/2018 14:00

Bwana hachoki kuita kila mmoja ili abadilishe maisha na kufanya hatua ya kwenda kwake na kuongoka. Anafanya hivyo kwa ukarimu na imani kama Baba hata sisi tufanye hivyo katika maungamo.Ni ushauri wa Baba Mtakatifu Francisko wakati wa mahubiri yake tarehe 27 Februari 2018 mjini Vatican