Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Amani

Viongozi wa katoliki na wa madhehubu mengine nchini Myanmar wamehitimisha jukwaa lao kuhusu dini ya amani hivi karibuni

Viongozi wa katoliki na wa madhehubu mengine nchini Myanmar wamehitimisha jukwaa lao kuhusu dini ya amani hivi karibuni

Viongozi wa dini nchini Myanmar wamemaliza Jukwaa kuhusu dini ya amani !

08/06/2018 12:32

Wakati endelevu nchini Myanmar umesimamia  juu ya utajiri wa historia na utamaduni wa kuishi  pamoja madhehebu na tamaduni nyingi. Katika ngazi ya kina inatoa ahadi ya wakati endelevu kwa uhakika wa thamani na fadhila ya huruma, ustawi wa kushirikishana na haki iliyopo katika utamaduni 

 

Kalenda ya Shughuli za Baba Mtakatifu Francisko kuanzia mwezi Juni hadi Agosti 2018

Kalenda ya Shughuli za Baba Mtakatifu Francisko kuanzia mwezi Juni hadi Agosti 2018

Kalenda ya Shughuli za Baba Mtakatifu Francisko mwezi Juni-Agosti 2018

29/05/2018 16:20

Shirika la Habari za Vatican limetoa ratiba elekezi ya shughuli za kichungaji, kama vile ziara, mikutano na maadhimisho ya Baba Mtakatifu kwa miezi ya kiangazi yaani:Juni, Julai na Agosti. Kwa mujibu wa kalenda, tarehe 3 Juni 2018,ni Sikukuu ya Mwili na Damu ya Yesu ambapo atakuwa Ostia! 

 

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa akizungumza na Wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand 16 Mei 2018

Papa amekutana mjini Vatican na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand

16/05/2018 15:40

Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano 16 Mei 2018, amekutana na wawakilishi wa Wabudha kutoka Thailand, mjini Vatican ambapo wakati wa hotuba yake ameshukuru zawadi ya kitabu chao Kitakatifu katika Lugha ya kisasa ya wamonaki wa Ekalu la Wat Pho. Amesifu ishala njema ya urafiki na ukarimu!

 

 

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa Francisko aombea kwa mara nyingine tena nchi Takatifu na mashariki ili iwe na amani ya kudumu!

Papa kwa mara nyingine aomba amani katika nchi Takatifu na Mashariki !

16/05/2018 15:29

Mara baada ya Katekesi ya Baba Mtakatifu Francisko,mawazo yake yamerudi katika nchi Takatifu na za Mashariki. Kwa namna ya pekee huko Gaza mahali ambapo damu inaendelea kumwagika baada ya maandamano ya wapalestina  kufuatia pia uzinduzi wa Ubalozi wa Marekani mjini Yerusalemu

 

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafunulia wafuasi wake Fumbo la Ufufko na kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu!

Kristo Yesu Mfufuka alijitahidi kuwafunulia Mitume wake Fumbo la Ufufuko kiasi cha kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu.

Kristo Mfufuka ameondoa hofu na mashaka, sasa ni ushuhuda tu!

12/04/2018 15:50

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafafanulia wafuasi wake kuhusu Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wake, kwa kuwashirikisha wafuasi wake uhalisia wa maisha yake kama Mfufuka, akawaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu ili kuonja uwepo wake endelevu kama ilivyo hata katika kuumega mkate.

Mtakatifu Tomaso, mwenye imani haba! Alipogusa Madonda Matakatifu akaungama "Bwana wangu, na Mungu wangu"! Safari ndefu ya imani!

Mtakatifu Tomaso, mwenye imani haba baada ya kugusa Madonda Matakatifu ya Yesu anakiri imani yake kwa kusema, "Bwana wangu na Mungu wangu". Hii ni safari ndefu ya imani katika maisha ya Mtume Tomaso.

Kitimu timu cha Tomaso mwenye imani haba kama kiatu cha raba!

05/04/2018 11:10

Baba Mtakatifu Francisko anasema imani inapaswa kuhubiriwa na kushuhudiwa kwa haraka kama walivyofanya wale wanawake, Petro Mtume pamoja na Yohane, mwanafunzi aliyependwa zaidi na Yesu! Lakini, wapo wenye imani haba kama Tomaso, wanaovumiliwa na kuonjeshwa huruma na upendo na Yesu.

 

Matashi mema ya Pasaka kutoka kwa Patriaki Raphael Sako wa Iraq kwa waamini wote na wenye mapenzi mema, ili nchi yao iweze kuwa na msimamo na usalama

Matashi mema ya Pasaka kutoka kwa Patriaki Raphael Sako wa Iraq kwa waamini wote na wenye mapenzi mema, ili nchi yao iweze kuwa na msimamo na usalama

Iraq:Patriaki Raphael Sako awatakia matashi mema ya usalama na msimamo!

30/03/2018 17:08

Kutoka katika nchi iliyojulikana ya utukufu, yenye  bahati, leo hii nchi ya Iraq imegeuka kuwa nchi ya majanga ya ubaya utokanao na wizi na kuua.Ni katika jumbe wa Pasaka,wa Patriaki wa Baghadad nchini Iraq L.Raphael Sako aliowaandikia waamini wote na wenye mapenzi mema katika nchi yao.

 

Waraka wa Maaskofu wa KKKT kwa Sherehe ya Pasaka 2018 unachambua hali ya Tanzania kwa kina na mapana!

Waraka wa Maaskofu wa KKKT kwa Sherehe ya Pasaka kwa Mwaka 2018 unachambua hali ya Tanzania kwa kina na mapana!

Waraka wa Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania, 2018

26/03/2018 14:08

Maaskofu wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania katika Waraka wao wa Pasaka kwa Mwaka 2018 wanachambua jamii na uchumi wa Tanzania ili kudumisha uhuru na umoja wa Tanzania; Tanzania na amani; maisha ya siasa, masuala mtambuka, kilio cha Katiba Mpya na Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo!