Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Alhaji Ali Hassan Mwinyi

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za Kitume yanayoendelea kutoa huduma ya tafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa duniani.

Papa Francisko anayashukuru Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa huduma ya utafiti, tiba na kinga kwa wagonjwa sehemu mbali mbali za dunia.

Hospitali ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, chombo cha huduma kwa wagonjwa

10/02/2018 09:11

Baba Mtakatifu Francisko anayapongeza Mashirika ya Kitawa na Kazi za kitume kwa kuendeleza huduma na utume wa uponyaji uliotekelezwa na Kristo Yesu katika maisha yake. Anayataka Mashirika haya kuendelea kupyaisha huduma hii, kwa kuzingatia haki msingi za binadamu, utu na heshima ya wagonjwa!

Padre Alessandro Manzi ameteuliwa kuratibu mchakato wa maboresho ya huduma ya Hospitali ya Rufaa ya Mt. Gaspar, Itigi, Manyoni, Singida, Tanzania.

Padre Alessandro Manzi, C.PP.S ameteuliwa kuwa mratibu wa mchakato wa maboresho ya huduma zinazotolewa na Hospitali ya Mtakatifu Gaspari, Itigi, Manyoni, Singida, Tanzania.

Mchakato wa maboresho ya huduma ya Hospitali ya Mt. Gaspar, Itigi!

25/07/2017 07:00

Shirika la Wamissionari wa Damu Azizi ya Yesu limeanza mchakato wa maboresho ya huduma inayotolewa na Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Gaspar, Itigi, Manyoni, Singida kwa kumteua Padre Alessandro Manzi, mhandisi kitaaluma, lakini mmissionari na Padre katika maisha na wito wake!

Hospitali ya Mt. Gaspari, Itigi, Manyoni nchini Tanzania ni oasisi ya huruma na upendo wa Mungu kwa watu wake.

Hospitali ya Mt. Gaspar, Itigi, Manyoni,nchini Tanzania ni oasisi ya huruma na upendo wa Mungu kwa watu wake; ni jibu makini la kilio cha damu kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii!

Hospitali ya Mt. Gaspari, Itigi, Oasisi ya huruma na upendo wa Mungu

15/03/2017 15:03

Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu wa awamu ya pili alipokuwa anafungua rasmi hospitali ya Mtakatifu Gaspari, Itigi, Manyoni, Tanzania alisikika akisema, unahitajika upendo wa dhati kuamua kuanzisha hospitali kubwa kama hii pembeni mwa nchi! sababu kubwa ni huduma kwa watu!

Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii Tanzania imekuwa mstari wa mbele kutoa huduma za afya na elimu makini.

Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii nchini Tanzania imekuwa mstari wa mbele katika kutoa huduma ya elimu, afya na maendeleo endelevu kwa kipindi cha miaka 25 iliyopita.

Uekumene wa huduma makini nchini Tanzania!

11/03/2017 11:22

Tume ya Kikristo ya huduma za Jamii nchini Tanzania (CSSC) ilianzishwa kunako mwaka 1992 kama sehemu ya juhudi za Makanisa kudumisha Uekumene wa huduma kwa ajili ya familia ya Mungu nchini Tanzania kwa kujikita hasa katika elimu, afya na maendeleo endelevu ya binadamu! Imegota miaka 25!

Hatima ya Zanzibar baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu 2015 na Kura ya Maoni ya Katiba mpya ni changamoto kwa Tanzania.

Hatima ya Zanzibar baada ya kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa ni kati ya changamoto kubwa kwa Tanzania kwa wakati huu.

Majadiliano kuhusu hatima ya Zanzibar yanaendelea vyema! Wananchi kupewa taarifa

28/12/2015 08:26

Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ameanza kazi kwa kusimama kidete kupambana na rushwa na ufisadi uliokuwa unaelekea kuitumbukiza Tanzania mahali pabaya! Cheche za mafanikio zinaanza kuonekana! Changamoto kubwa kwa sasa ni hatima ya Zanzibar na kura ya maoni ya Katiba Mpya!