Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Agano Jipya

Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu ni kielelezo cha utii; upatanisho na chemchemi ya maisha mapya!

Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu ni kielelezo cha utii na uhuru kamili; upatanisho kati ya Mungu na binadamu na chemchemi ya maisha mapya!

Kifo cha Kristo ni kielelezo cha utii, upatanisho na uhai mpya!

17/03/2018 08:56

Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya tano ya Kipindi cha Kwaresima ni mwaliko kwa waamini kutafakari kwa kina na mapana kuhusu Fumbo la Msalaba hasa mateso na kifo cha Kristo Yesu, kielelezo cha hali ya juu kabisa cha utii, upatanisho kati ya Mungu na binadamu na chemchemi ya maisha mapya!

Kristo Yesu kwa njia ya mateso, kifo na ufufuko wake ameanzisha Ufalme wa Mungu unaoangaza macho ya watu kwa maneno, kazi na uwamo wake.

Kristo Yesu kwa njia ya mateso, kifo na ufufuko wake ameanzisha Ufalme wa Mungu unaoangaza macho ya watu kwa neno, kazi na uwamo wa Kristo.

Vueni utu wa kale uliochakaa kwa dhambi kwa kujivika utu mpya!

14/03/2018 11:50

Mama Kanisa anafundisha kwamba, Kristo Yesu alianzisha Ufalme wa mbinguni hapa duniani, unaangaza macho ya watu kwa neno, kazi na uwamo wa Kristo. Kanisa ni mbegu na mwanzo wa Ufalme, kielelezo cha utii na sadaka ya Kristo Yesu katika kazi ya ukombozi wa mwanadamu!

Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha utii na utimilifu na mwanzo wa Agano Jipya na la milele!

Kristo Yesu akiinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake, kielelezo cha hali ya juu kabisa cha utii kwa Baba yake wa mbinguni, mwanzo wa Agano Jipya na la milele.

Kristo Yesu akishakuinuliwa juu ya nchi, atawavuta wote kwake!

13/03/2018 14:46

Saa ya Kristo Yesu kadiri ya mafundisho ya Mwinjili  Yohane ni Fumbo la Pasaka, yaani: Mateso, Kifo na Ufufuko wa Kristo unaomkirimia mwanadamu ukombozi. Hiki ni kielelezo cha hali ya juu kabisa cha Utii kwa Baba yake wa milele na utimilifu wa Agano Jipya na la Milele linalofumbata Sadaka yake!

 

Yesu Kristo aliteswa  na kufa Msalabani ili kuwakomboa wanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti!

Kristo Yesu aliteswa na kufa Msalabani ili kuwaokomboa watu kutoka katika lindi la dhambi na mauti.

Kwaresima ni kipindi cha mapambano dhidi ya dhambi na mauti!

10/03/2018 06:30

Kristo Yesu hana budi kuinuliwa ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika Yeye. Fumbo la Umwilisho linalopata utimilifu wake katika Fumbo la Pasaka linalenga kumkomboa mwanadamu kutoka katika lindi la dhambi na mauti! Kristo ni mpatanishi kati ya Mungu na binadamu na kati yao wenyewe!

Matumaini ya Kikristo ni fadhila ya unyenyekevu na nguvu inayowategemeza wakristo katika maisha na utume wao.

Matumaini ya Kikristo ni fadhila ya unyenyekevu na nguvu inayowategemeza Wakristo katika maisha na utume wao duniani.

Papa Francisko: Matumaini ni chemchemi ya furaha, nguvu na imani!

01/02/2017 14:38

Baba Mtakatifu Francisko baada ya kutafakari matumaini ya Kikristo mintarafu Agano la kale, ameanza kujielekeza sasa katika matumaini ya Kikristo mintarafu Mwanga wa Agano Jipya yanayojikita katika Fumbo la Pasaka yaani: mateso, kifo na ufufuko wa wafu, kitovu cha nguvu, imani na furaha!

Yesu Kristo ni kielelezo cha Agano Jipya na la milele!

Yesu Kristo ni kielelezo cha Agano Jipya na la Milele.

Agano Jipya na la milele!

20/01/2017 14:42

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kamwe Mwenyezi Mungu haweki kumbu kumbu ya dhambi za binadamu kwa anasamehe na kusahau, kumbe changamoto kubwa kwa waamini ni kuhakikisha kwamba, wanatembea katika mwanga na upya wa maisha kwa kukimbia dhambi na nafasi zake!