Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Adhabu ya kifo

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala. Ni chombo na amana ya imani ya Kanisa.

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala ya Kanisa. Ni chombo na amana ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Jubilei ya Miaka 25 ya Katekisimu ya Kanisa Katoliki: Adhabu ya kifo!

12/10/2017 13:05

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala za Kanisa. Ni matunda ya changamoto iliyotolewa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican ili kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa sanjari na kukabiliana na changamoto mamboleo kama vile adhabu ya kifo!