Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Waathirika wa majumbani

Gari aina ya Lamborghini ni zawadi imetolewa kwa Baba Mtakatifu ambayo itanadishwa, na fedha zitakazopatikana ni kwa ajili ya wenye shida

Gari aina ya Lamborghini ni zawadi imetolewa kwa Baba Mtakatifu ambayo itanadishwa, na fedha zitakazopatikana ni kwa ajili ya wenye shida

Papa amepewa zawadi ya gari ambalo litawekwa mnadani kwa ajili ya wahitaji

16/11/2017 16:35

Zawadi ya gari mpya yenye thamani kubwa aina Lamborghini Huracan imetolewa asubuhi ya tarehe 15 Novemba 2017 kwa Baba Mtakatifu Francisko.Gari hilo litawekwa kwenye mnada wa Sotheby’s na fedha zitakazopatikana zitawakilishwa kwa Papa kwa ajili ya matendo ya upendo kwa wahitaji

 

 

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma kufikia 2030

Dunia inakabiliwa na janga la kielimu na bila juhudi za hivi sasa, zaidi ya vijana milioni 825 kati ya vijana bilioni 1.6 wataachwa nyuma ifikapo mwisho wa malengo ya maendeleo endelevu

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef, Milioni 27 ya watoto hawaendi shule

21/09/2017 16:05

Kwa mujibu wa Ripoti ya Unicef,Watoto milioni 27 wameacha shule katika nchi 24 duniani zikiunganishwa na nchi zenye migogoro.Ripoti hiyo imetolewa wakati wa tukio la Mkutano wa Umoja wa mataifa mjini New York mapema tarehe 19 Septemba 2017.Utafiti pia kwa watoto na vijana wahamiaji 

 

Biashara ya binadamu  inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa,  hutoa faida kubwa sana kwa waalifu.

Biashara ya binadamu inayofanyika kuwanyonya watu katika maeneo kama vile ya ukahaba, kazi za kulazimishwa, hutoa faida kubwa sana kwa wahalifu.

Biashara haramu ya binadamu inaongezeka kwasababu ya kutojali

13/09/2017 16:53

Askofu Mkuu  Ivan Jurkovič  Mwakilishi wa kudumu wa Vatican kwenye Ofisi za Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswis,ametoa hotuba yake katika kikao cha 36 Cha Baraza la Haki za Binadamu tarehe 12 Septemba 2016 Ni kikao ambacho kinazingatia sababu na matokeo ya uhalifu mkubwa kupindukia

 

Tangu  kuanza mjadala wa Affordable Care Act”,ulio anzishwa na Rais Obama, Maaskofu wamerudia kuomba Seneti  kuheshimu misingi ya kanuni ya Sheria

Tangu kuanza mjadala wa Affordable Care Act”,ulio anzishwa na Rais Obama, Maaskofu wamerudia kuomba Seneti kuheshimu misingi ya kanuni ya Sheria katika mageuzi ya afya.

Wito wa Maaskofu Marekani katika Seneti juu ya haki ya maisha na afya

12/05/2017 16:17

Kwa mujibu wa Askofu Dewane,ni kukatisha tamaa kwa kina kwasababu haikusikika kilio cha watu wengi wathirika.Bima ya Afya inatoa ulinzi muhimu wa maisha na mfumo wao wa afya unahitaji ulinzi huo. Watu wanaoishi katika  mazingira magumu ni lazima wasiachwe katika umaskini na hali mbaya zaidi.

 

Watoto wanayo haki

Haki ya mtoto

Jukwaa la V la Dini Kimataifa kwa ajili ya utetezi wa watoto Panama!

11/05/2017 10:09

 

Karibia viongozi 430 kutoka  madhehebu makubwa ya dini duniani na watoto 60 kutoka nchi 70 ,wakiwemo wawakilishi wa Kimataifa wamemunganika Panama kwenye Jukwaa la V la Mtandao wa Dini Kimataifa kuanzia tarehe 9-11 Mei 2017 kwa lengo la utetezi dhidi ya ukatili wa watoto duniani

 

 

Monsinyo Urbanczyk amesema,wote wanaweza kuwajibika katika kulinda utu wa binadamu japokuwa suala hili linabaki bado kuwa nyeti

Monsinyo Urbanczyk amesema,wote wanaweza kuwajibika katika kulinda utu wa binadamu japokuwa suala hili linabaki bado kuwa nyeti la unyonyaji na kuwatumikisha watoto wadogo.

Serikali ziwajibike pamoja kulinda watoto waathirika wa biashara!

08/04/2017 08:58

Inabidi kukabiliana na kipeo kikubwa cha biashara ya binadamu cha wakimbizi na hasa wale watoto wahamiaji, kuwapa mafunzo ya mwanzo katika ngazi ya kimataifa.Hiyo kwasabau wote wanaweza kuwajibika katika kulinda utu wa binadamu japokuwa suala hili linabaki bado kuwa nyeti la unyonyaji wa watoto

 

Mkutano wa Maaskofu wa Kianglikani ,katika waraka mpya wameomba wafanyakazi na kujitolea  wanaofanya kazi karibu na watoto, vijana na watu wazima weny

Mkutano wa Maaskofu wa Kianglikani ,katika waraka mpya wameomba wafanyakazi na kujitolea wanaofanya kazi karibu na watoto, vijana na watu wazima wenye kuishi katika mazingira magumu , wafanye mafuzno maalumu kukabiliana na athari za manyanyaso majumbani.

Wanglikani nchini Uingereza kutetea wanao nyanyaswa majumbani!

17/03/2017 15:37

Waraka pili umetolewa na Maaskofu  wa kianglikani nchini Uingereza wenye mada ya kuhamasisha usalama zaidi wa Kanisa,unawaajibisha maaskofu mapadri, mashemasi,na walei na mtu binafsi anaye jibidisha katika Kanisa kuheshimu mwongozo wa suala hili la manyanyaso ya majumbani.