Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Shirika la Kusaidia watoto

Mashirika yasiyo ya Kiserikali yamelazimishwa kusitisha operesheni za kuokoa watu bahari ya Meditranea

Mashirika yasiyo ya Kiserikali yamelazimishwa kusitisha operesheni za kuokoa watu bahari ya Meditranea

Mashirika yasiyo ya Kiserikali kusitisha operesheni bahari ya Mediterranea

14/08/2017 13:45

Mkurugenzi wa Uendeshaji,Rob MacGillivray anasema,Shirika la Saidia Watoto liko tayari kuanza tena shughuli zake kuokoa watu katika Bahari, lakini wanawajibu wa kuhakikisha usalama wa timu yao na ufanisi wa utendaji.Kabla ya kuweze kuendelea na operehseni hiyo ni lazima usalama kuwapo

 

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shiri

Baba Mtakatifu Francisko ametuma Ujumbe wake kwa Shirika la Ndugu Marists kutokana na kuwadhimisha Jubileo ya Miaka 200 tangu kuanzishwa kwa Shirika hilo

Ongozweni na unyenyekevu, ukimya na mifano bora ya maisha!

20/04/2017 16:55

Mama Maria ndiye anasindikiza lengo hili,kwa karibu atazidisha miito ili kuchangia kuunda ubinadamu mpya kutoka kwa walio athirika,walio baguliwa na kukosa upendo.Huu ndiyo wakati endelevu tunao uota ndoto na wala siyo udanganyifu;Ujenzi huo uanze lei hii kusema ndiyo mapenzi yako Mungu yatimie

 

Watoto milioni 116 katika nchi 13 za Afrika watapata chanjo ya Polio kutokana na Kampeni ya Shirika la kusaidia watoto WHO

Watoto milioni 116 katika nchi 13 za Afrika watapata chanjo ya Polio kutokana na Kampeni ya Shirika la kusaidia watoto WHO

WHO:Kampeni ya chanjo ya Polio kwa watoto katika nchi 13 za Afrika

28/03/2017 14:23

Zoezi la Kampeni ya kutoa chanjo ya Polio kwa nchi 13 za Afrika zitafanyika kwa wakati mmoja kwa kutembelea nyumba kwa nyumba katika miji yote na vijiji na kufanya kazi masaa 12 kila siku.Watu watasafiri kwa miguu,au baiskeri,wakiwa na mifuko maalum ya kutunza chanjo ya baridi nyuzi 8.